AzamPay preps to launch AzamPesa

Nchi zote tajiri zina ma bilionea wacha kuleta maneno mbovu ww ..mo akija uko anaeza inunua kenya
Kenya sio uchumi size yenu. Mo hawezi kudominate Kenya anavyowadominate nyinyi. Uchumi wa $105 billion unataka kuulinganisha na uchumi wa $72 billion?
 
Uwezi kumkinganisha Azam na wahindi wa Kenya. Wao wana passport ya Kenya na England au India. Azam ni mtoto wa Tanzania OG. Alianza kwa kuhuza ulojoo na Sharibati ZNZ.
 
Kenya sio uchumi size yenu. Mo hawezi kudominate Kenya anavyowadominate nyinyi. Uchumi wa $105 billion unataka kuulinganisha na uchumi wa $72 billion?
Tanzanian economy is $64M. Hiyo $72M watafika 2050.
 
Nilikuwa namaanisha ile issue ya kukopeshana kwa riba sijui kama ataikubali mana huyu jamaa ana sheria za kiislam sanaaa
Benki zote zinazomilikiwa na waislamu, zina kuwa na sheria zao special, ndio maana issue ya kukopesheana kwa riba huwezi pata humo ndani.
 
Huyu Muarabu si atadominate industries zote Tanzania. Kuanzia Azam tv, Azam drinks hadi sasa ameingia kwenye Azampesa. Aisee kwani Tanzania ina mwanamme mmoja tu hao wengine ni mazombie?
huyo mwamba siku kenya mkamruhusu tu ndio mtaelewa kwanini anaitwa bakheresa the guy is business genius..
 
huyo mwamba siku kenya mkamruhusu tu ndio mtaelewa kwanini anaitwa bakheresa the guy is business genius..
Hata akiruhusiwa, bado atapata competition kwa vigogo wa KE, sio ati akija ndo atapata mteremko, la hasha. 😂
 
Hata akiruhusiwa, bado atapata competition kwa vigogo wa KE, sio ati akija ndo atapata mteremko, la hasha. 😂
Anatamba TZ coz most of them are bongolalas, hana meaningful competition., he's almost becoming a monopoly., too bad for black Tanzanians., uzembe ni mbaya!
 
Kenya kwa mara ya kwanza imeshikilia uongozi wa Financial Technology (FinTech) barani Africa kwa kuipiku Nigeria na SA.. Tuko number 31 dunia nzima!!!!

Source:

-----------------------------------------------------------------

Lagos slumps in 2021 Global Fintech ranking, Nairobi ranks high​

Nigeria’s commercial nerve centre, Lagos, dropped 22 places to rank 93rd in the 2021 Global Fintech Rankings.

The city’s ranking nosedived according to the new report released by findexable, which identifies emerging hubs, fintech companies and trends.

The new ranking, powered by Mambu, shows that 2020 was a year in which the financial technology (‘fintech’) sector expanded globally, building upon a surge in demand for technology that increases access to digital finance.

While Lagos slumped in the report, Nairobi, the capital city of Kenya, jumped 26 places upwards to rank 37th on the global ranking. It is the only African city in the top 50 category of cities around the globe, according to the report.

Accra, Ghana’s capital city, dropped 28 places to rank 151 on the global ranking of cities.

Within the year, over 50 new cities and 20 new countries were added to the index, meaning that they host the headquarters of at least 10 privately-owned fintech companies.

Meanwhile, among the 83 countries ranked in the index, Nigeria dropped five places to rank 57th behind Kenya, which moved eleven steps upward to rank 31st.

Africa’s largest economy also ranked behind South Africa, which equally dropped seven places to rank 44th.
 
Eti too bad for black Tanzanians. How dumb! Is Bakhresa white? Au wazanzibari ni watu weupe?

Naona mnaangaika sana na hizi tricks zenu za divide and rule. Shame on you!
Anatamba TZ coz most of them are bongolalas, hana meaningful competition., he's almost becoming a monopoly., too bad for black Tanzanians., uzembe ni mbaya!
 
Yaani huwa anawadanganya hivyo?
2022 tuona watakao piga kura. Wahindi karibu wote watakimbilia Uganda na Tanzania. Tunawona, ni wachache sana wanapinga kura. Wengine watakuwa wamekwenda kwa Mama Elizabeth au India kustare na kujitibu
 
Hakuna mtu wa kushindana na Azam. Anazalisha bidhaa zenye ubora wa kimataifa huwezi kufananisha bidhaa za Mo na Azam. Chochote anachazalisha kinajiuza chenyewe sokoni bila kutegemea promo. Pia amewekeza sana kwenye biashara ya kujenga na kupangisha majengo zaidi ya asilimia 70 ya magorofa yaliyopo mtaa wa Livingstone niya Azam
 
eti fintech, mnapenda sana sifa wakunya kuna mwenzenu youtuber anaomba msaada wa kulipa bill hospitali huko YouTube. dingi ake kalazwa aga khan kisumu bill imekuja kubwa wameshindwa kulipa. kamchangie kwanza
 
hata wewe dingi yako akilazwa hospitalini lazima utapanic. huyo youtuber anastahili kupewa support lakini Omosh hapana
 
Huyu Muarabu si atadominate industries zote Tanzania. Kuanzia Azam tv, Azam drinks hadi sasa ameingia kwenye Azampesa. Aisee kwani Tanzania ina mwanamme mmoja tu hao wengine ni mazombie?
Anaona mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…