Akotia
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 528
- 1,241
Wakenya hawana kitu cha kuwashughulisha sana,tabaka la chini la Kenya wanaipenda sana ligi yao ila hawana support.
AzamTv wakiwekeza mpunga kwenye ligi ya kenya hasa wakiweza kuproduce live,pia wastream kwenye app yao kwa kushirikiana na media za kenya atapata pesa bila ya kua na king’amuzi Kenya. Yeye ana produce na kidestribute kwenye app yake,decoder zake na kuwauzia tv za Kenya ambazo naamini zitahitaji Huduma zake. Ligi ya Kenya ni Mchongo.