Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,655
- 2,506
App za Play store zinabidi zitumie Google Play Subscriptions kwa ajili ya malipo na subscriptions kasoro zile app zinazouza physical goods na services zengine sio za kidigital, lakina naona Azam ukitaka kulipia wanakupeleka site isiyoeleweka ukajaze details zako zote huko hii sio sawa.
Hata site ya PayPal nayo inatia mashaka maana hauwezi kuona url ya website unaona logo tu, hauwezi kujua kama ni PayPal kweli!
Hata site ya PayPal nayo inatia mashaka maana hauwezi kuona url ya website unaona logo tu, hauwezi kujua kama ni PayPal kweli!