Mbona Spotify wanakupa option mbili, ya google play subscription pamoja na ku link cardApp za Play store zinabidi zitumie Google Play Subscriptions kwa ajili ya malipo na subscriptions kasoro zile app zinazouza physical goods na services zengine sio za kidigital, lakina naona Azam ukitaka kulipia wanakupeleka site isiyoeleweka ukajaze details zako zote huko hii sio sawa.
Hata site ya PayPal nayo inatia mashaka maana hauwezi kuona url ya website unaona logo tu, hauwezi kujua kama ni PayPal kweli!
Disney na Prime zina in app purchase.Je, ningependa kufahamu kuna tofauti gani kati ya wanachokifanya AzamTV max na huduma nyingine za kutiririsha maudhui kama vile: Showmax, Netflix, Disney Plus, Prime video, DStv stream n.k.?
Wote wanakupeleka off site na malipo yao hayafanyiki kupitia Google Play Subscription.
Spotify walifikia makubaliano na Google nadhani baada ya kutishia kuwashtaki unaweza kusoma hapa Spotify and Google Announce User Choice Billing — Spotify lakini bado unaona kuna hizo option mbili, Azam haina kabisa Play store in app purchase!Mbona Spitify wanakupa option mbili, ya google play subscription pamoja na ky link card
Sheria za umoja wa ulaya zimewabana waondoe kitu hikiApp za Play store zinabidi zitumie Google Play Subscriptions kwa ajili ya malipo na subscriptions kasoro zile app zinazouza physical goods na services zengine sio za kidigital, lakina naona Azam ukitaka kulipia wanakupeleka site isiyoeleweka ukajaze details zako zote huko hii sio sawa.
Hata site ya PayPal nayo inatia mashaka maana hauwezi kuona url ya website unaona logo tu, hauwezi kujua kama ni PayPal kweli!
Naunga mkono hoja 🤣😁Cha kushangaza zaidi ukienda kwenye App ya Azam iPhone wameweka Apple Subscriptions kama inavyotakiwa, inaelekea Apple waliwakamata mapema!
Tumia virtual card mfano ya airtel weka pesa inayotakiwa ulipe ikishindkana kucancel watakuta hakuna kituHata mimi nafikiri ni vizuri kuwa na option ila Play subscription nayo iwepo, maana hizi za nje wakishapata card namba yako kucancel inaweza kuwa mziki.