OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni kweli kabisa ni kweli Aishi Manula ameondoka ndani ya klabu yetu ya Azam hata mlinzi wetu Shomari Kapombe naye pia ameondoka katika ya klabu yetu ya Azam,wote wawili wakielekea klabu ya Simba SC’
Kwanza mambo mawili nitoe shukrani tu kwa hawa vijana shukrani kubwa sana wamefanya kazi kubwa sana kwenye klabu yetu ya Azam fc tunathamini sana mchango wao tumefanikiwa tulipofanikiwa pamoja nao na tumeshindwa baadhi ya mambo ambayo tulikuwa tumejipangia tukiwa pamoja nao”
Kwa hiyo sisi klabu ya Azam hatuna kinyongo nao hata kidogo kwa sababu mchango wao ni mkubwa sana mpaka hapa tulipofika.
NASSOR IDRISSA
M/KITI AZAM FC
MY TAKE
Kuna wakati timu nzima ya Taifa Taifa Stars itatokea Simba SC