Azamu yabariki Kapombe na Manula kukipiga Simba SC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Ni kweli kabisa ni kweli Aishi Manula ameondoka ndani ya klabu yetu ya Azam hata mlinzi wetu Shomari Kapombe naye pia ameondoka katika ya klabu yetu ya Azam,wote wawili wakielekea klabu ya Simba SC’

Kwanza mambo mawili nitoe shukrani tu kwa hawa vijana shukrani kubwa sana wamefanya kazi kubwa sana kwenye klabu yetu ya Azam fc tunathamini sana mchango wao tumefanikiwa tulipofanikiwa pamoja nao na tumeshindwa baadhi ya mambo ambayo tulikuwa tumejipangia tukiwa pamoja nao”

Kwa hiyo sisi klabu ya Azam hatuna kinyongo nao hata kidogo kwa sababu mchango wao ni mkubwa sana mpaka hapa tulipofika.

NASSOR IDRISSA
M/KITI AZAM FC

MY TAKE
Kuna wakati timu nzima ya Taifa Taifa Stars itatokea Simba SC
 
Mwisho wa siku mpira Tanzania utabakia Simba na Yanga.

Nauona mwisho wa Azam kuwa tishio la hii miamba miwili.
 
I
Mwisho wa siku mpira Tanzania utabakia Simba na Yanga.

Nauona mwisho wa Azam kuwa tishio la hii miamba miwili.
I THINK AZAM WANAMSAIDIA SIMBA WACHEZAJI WA KUCHEZA MECHI ZA KIMATAIFA, THEN WACHEZAJI HAWA WATARUDI, NAFIKIRI WAMEENDA KWA MAKUBALIANO MAALUM
 
Kwa aishi manula wamelamba dume, ila kwa boko na kapombe sina uhakika..
 
Mwisho wa siku mpira Tanzania utabakia Simba na Yanga.

Nauona mwisho wa Azam kuwa tishio la hii miamba miwili.
Azam na simba kuna nini kinaendelea,uwa nazifananisha Ccm na Act wazalendo
 
Yanga bingwa kweli ..Simba B kibao ila mwakani ubingwa unarudi jangwani
 
Hivi hawa wachezaji wameenda bure huko simba? yaani azam hawajapata hata senti moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…