Azania Sec. School (SPECIAL THREAD)

Yaan pale full package.

Kuna vipanga.

Kuna watu wenye vipaji

Alaf kuna sisi sasa, hatupo kotekote, kazi yetu kuchonga modo tuu na kuvaa milegezo.
 
Kuna arusha school ya 1932
 
Big Nation kwa Dar ni Tambaza Azania hawatuwezi kiUgomvi ,kwa Unyamwezi ,KwaExposure nk

Tazama Mbali Zaidi (Tambaza) ndio moto wa kuotea mbali.
 
Dah nimekumbuka mbali enzi za Ngoozye,Mwalimu wa michezo marehemu Hatia,Mzee Matawa,Mganga,Nkya,Luchwaza,Mlokozi nk

Niliwahi dakwa nikiwa natoroka mida ya saa 9 na Luchwaza akaenda nikabidhi kwa Mganga ilikua noma sana [emoji16].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…