Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Huyu mzee anajitahidi sana kutetea Serikali. Isimwache hivi hivi imwangalie kwa jicho la tatu anaweza kuwa msaada hapo mbeleni. Anajitahidi sana kuitetea Serikali.
Ni kumpa tu Elimu angalau sasa awe na maneno ya akili au ajue kujenga logic katika anachoongea.
Nimemkubali ana mapenzi sana na nchi na uzalendo wa kiwango cha juu. Anakumbusha majambazi ambayo yalimteka Mo Dewji sijajua kama wana undugu.
Serikali iangalie jeshi la Police limeshindwa kabisa.kama majambazi yanateka watu saa 12 na mwanga wa kutosha na magari na silaha kali.basi jeshi la polisi limejichokea sana.na mpaka sasa halijawapata majambazi