Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Huyu mzee ni Bora akakaa kimya ili amalize vizuri siku zake za kuishi hapa duniani, asijishushie heshima kwa kuongea mambo ambayo hana uelewa nayo.Huyu mzee anajitahidi sana kutetea Serikali. Isimwache hivi hivi imwangalie kwa jicho la tatu anaweza kuwa msaada hapo mbeleni. Anajitahidi sana kuitetea Serikali.
Ni kumpa tu Elimu angalau sasa awe na maneno ya akili au ajue kujenga logic katika anachoongea.
Nimemkubali ana mapenzi sana na nchi na uzalendo wa kiwango cha juu. Anakumbusha majambazi ambayo yalimteka Mo Dewji sijajua kama wana undugu.
Serikali iangalie jeshi la Police limeshindwa kabisa.kama majambazi yanateka watu saa 12 na mwanga wa kutosha na magari na silaha kali.basi jeshi la polisi limejichokea sana.na mpaka sasa halijawapata majambazi
View attachment 3093749
na actually,Huyu mzee anajitahidi sana kutetea Serikali. Isimwache hivi hivi imwangalie kwa jicho la tatu anaweza kuwa msaada hapo mbeleni. Anajitahidi sana kuitetea Serikali.
Ni kumpa tu Elimu angalau sasa awe na maneno ya akili au ajue kujenga logic katika anachoongea.
Nimemkubali ana mapenzi sana na nchi na uzalendo wa kiwango cha juu. Anakumbusha majambazi ambayo yalimteka Mo Dewji sijajua kama wana undugu.
Serikali iangalie jeshi la Police limeshindwa kabisa.kama majambazi yanateka watu saa 12 na mwanga wa kutosha na magari na silaha kali.basi jeshi la polisi limejichokea sana.na mpaka sasa halijawapata majambazi
View attachment 3093749
Huyu mzee ni Bora akakaa kimya ili amalize vizuri siku zake za kuishi hapa duniani, asijishushie heshima kwa kuongea mambo ambayo hana uelewa nayo.
Watekaji wanaoteka watu katika nchi hii siyo majambazi bali ni watu wanaojulikana Sana.
Je hawatakiwi wajulikane? Ila aliye tekwa akiwa tambua ni aibu sana, asipowatambua wanakuwa wasiojulikanaHuyu mzee ni Bora akakaa kimya ili amalize vizuri siku zake za kuishi hapa duniani, asijishushie heshima kwa kuongea mambo ambayo hana uelewa nayo.
Watekaji wanaoteka watu katika nchi hii siyo majambazi bali ni watu wanaojulikana Sana.