William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #361
Tataizo mkuu unaji contradict kwenye maelezo yako.
Inapendeza ukidadavua
- tukitoa mifano kwamba azimio lilkuwa failure kivipi .Je was azimio total 100% or even 90% failure. (to me No) Hivi W. J. Malecelahuoni hata japo 20% ya +ve input ya azimio la arusha In Tanzania au unalidhauri sababu kwako ni faliure. Think beyond you and mtazamaji.Think beyond Dar and Dodoma city
- Limetukifisha hapa negatively kaisi gani? Na bila Azmio lenyewe Projection yako Tanzania tungekuwa kama nchi gani ya mfano (Usiseme kenya Please) . Na asilimia ngapi ya watanzania wangekuwa well off or worse of Kielimu, kiuchumi na kupata huduma za jamii.
- Mtazamaji the Azimio tatizo lake kubwa ni kwamba sio tu limeshindwa kutupa mwongozo as a nation, isipokuwa the worst of all, lime-create a big confusion in our society kwa sababu everything it stood for was unrealistic, I mean huwezi kusomesha wananchi bure, huwezi kuwafanya wananchi wote wakafikiria sawa, huwezi ukawafanya wananchi wote wakawa na vipato sawa, huwezi kuwafanya wananchi wote wakawa na mali sawa, it is impossible na very against human nature!
- Haya ndio mambo baba wa Capitalism Martin Luther aliyakataa kabisaa kule kwenye kanisa la Catholic, na wao walitaka theory za namna hii, binadam anashamiri akipewa nafasi kufanya mambo yake individually huku Serikali ikimuongoza kwa kumuweka sawa kisheria, Binadam anashamiri akiruhusiwa ku-compete na wengine sio kulazimishwa kuwa sawa na wenziwe tena kwa nguvu, Binadam anashamiri akiruhusiwa kuamini anachotaka, lakini sio kulazimishwa kuamini siasa asizozitaka, Azimio did stand for all these wrongs ndio maana kwa wale wengine tulioliona tunashangaa sana kusikia kuna wanaoamini kwamba lilikuwa na good ideas?
I mean Really? what good ideas kama hata the Author could not figure out how to use for the good of our nation? Halafu tizama akasubiri ame-retire and then akaanza kuwashambulia waliobaki kwa kutumia maneno yale yale ya the failure Azimio, that was very wrong na very unfair, under Azimio tukaambiwa kujadili Muungano ni uhaini, tukaambiwa kujaidli Dini ni uhaini, I mean look now,
- Azimio la Zamnzibar, ninaamini tupo sawa nalo kwenye uchumi, isipokuwa kwenye Sheria tu bado tupo nyuma sana, lakini pole pole tutafikia muhimu ni Uchumi kwanza ambao tupo samba mba nao sana!
William.