bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Tanzania Nchi yangu nakupenda sana leo Diarra kaanza hakuna kelele, yale sijui anaitwa akapigwe Sub leo kimya.
Hii nchi ngumu wagumu ndio tunadumu[emoji1][emoji1] hawa wanaojiita wachambuzi uchwara huwezi kuwasikia leo na story zao uchwara.
Aziz K, Aucho, Diarra wote first eleven kwenye kuwakilisha mataifa yao wote hawa ni wachezaji wa Yanga hongera sana Eng kutuletea top players Tanzania hakuna cha maokoto pale Yanga jiulize vipi Sawadogo anachezea lini timu yake.
Leo T/Stars Bacca, Job, Nondo, Muda wote ndani wakitengeneza ukuta wa Zege sio ajabu hata goli kufungwa na kijana aliyekulia pale yale Simon Msuva. Halina shaka Yanga ndio timu yenye quality players kwa Sasa.
Wale wasemaji wa Yanga wa kujitegemea njooni mseme na haya mazuri tena ya Yanga.