Aziz K, Aucho, Diarra Ndani

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Tanzania Nchi yangu nakupenda sana leo Diarra kaanza hakuna kelele, yale sijui anaitwa akapigwe Sub leo kimya.

Hii nchi ngumu wagumu ndio tunadumu[emoji1][emoji1] hawa wanaojiita wachambuzi uchwara huwezi kuwasikia leo na story zao uchwara.

Aziz K, Aucho, Diarra wote first eleven kwenye kuwakilisha mataifa yao wote hawa ni wachezaji wa Yanga hongera sana Eng kutuletea top players Tanzania hakuna cha maokoto pale Yanga jiulize vipi Sawadogo anachezea lini timu yake.

Leo T/Stars Bacca, Job, Nondo, Muda wote ndani wakitengeneza ukuta wa Zege sio ajabu hata goli kufungwa na kijana aliyekulia pale yale Simon Msuva. Halina shaka Yanga ndio timu yenye quality players kwa Sasa.

Wale wasemaji wa Yanga wa kujitegemea njooni mseme na haya mazuri tena ya Yanga.
 
Hayo ndiyo mambo yanakwamisha timu ya taifa hadi kupelekea kuachwa kwa watu muhimu kama Kapombe. Goli lilikuja baada ya kutoka kwa Mudathir na kuingia kwa Mzamiru, hilo unaliongeleaje?
 
Walishindwa sana kupiga mipira mirefu. Mpaka alipoingia Mzamiru; akabadilisha mchezo. Pasi imeanza kwake na kwenda kuzaa Goli

Hahahaa hatuna haja na ASSIST sisi Assist mpelekee Saido.
 
Hayo ndiyo mambo yanakwamisha timu ya taifa hadi kupelekea kuachwa kwa watu muhimu kama Kapombe. Goli lilikuja baada ya kutoka kwa Mudathir na kuingia kwa Mzamiru, hilo unaliongeleaje?

Ujinga mwingi sana hii nchi kapombe ana miaka mingapi ya kucheza mpira mbeleni kapombe mechi ya Uganda mlipiga kelele akaitwa kiko wapi alifanya nini.
 
Ah, tena umenikumbusha..ngoja niende kuwamalizia jinsi wanavyonyanyaswa na kikosi cha pili cha Algeria

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app

Usitukane mamba gemu ya mwisho sisi tupo na Algeria leo Uganda ananyanyaswa bila shaka sisi tunaenda kuwafunga hiki kikosi cha pili pale [emoji1026].

Leo kikosi cha Algeria kilichoanza wachezaji 4 wanatoka Us Algers kama una akili lazima ulipige kifua na kukiri hakika hii Yanga niya mwoto sana.
 
Usikimbilie kuita watu wajinga wakati wewe mwenyewe unaleta mada za ajabu ajabu.

Umekuja kufanya nini sasa hapa, ungesoma then umezee na maji ulale.

Hayo kapombe kafanya nini au tukupe wewe T/stars nini uwe kocha.
 
Aucho kashabatizwa na msumari wa moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…