Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Ah, tena umenikumbusha..ngoja niende kuwamalizia jinsi wanavyonyanyaswa na kikosi cha pili cha Algeria
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Naangalia mechi kati ya Gabon vs DR Congo! Hatimaye Mayele ametetema. Hatari sana. Magoli yake ni ya aina ile ile.Tanzania Nchi yangu nakupenda sana leo Diarra kaanza hakuna kelele, yale sijui anaitwa akapigwe Sub leo kimya.
Hii nchi ngumu wagumu ndio tunadumu[emoji1][emoji1] hawa wanaojiita wachambuzi uchwara huwezi kuwasikia leo na story zao uchwara.
Aziz K, Aucho, Diarra wote first eleven kwenye kuwakilisha mataifa yao wote hawa ni wachezaji wa Yanga hongera sana Eng kutuletea top players Tanzania hakuna cha maokoto pale Yanga jiulize vipi Sawadogo anachezea lini timu yake.
Leo T/Stars Bacca, Job, Nondo, Muda wote ndani wakitengeneza ukuta wa Zege sio ajabu hata goli kufungwa na kijana aliyekulia pale yale Simon Msuva. Halina shaka Yanga ndio timu yenye quality players kwa Sasa.
Wale wasemaji wa Yanga wa kujitegemea njooni mseme na haya mazuri tena ya Yanga.
Usisahau Mayele ametetema Gabon na kupiga chuma cha Pili.Tanzania Nchi yangu nakupenda sana leo Diarra kaanza hakuna kelele, yale sijui anaitwa akapigwe Sub leo kimya.
Hii nchi ngumu wagumu ndio tunadumu[emoji1][emoji1] hawa wanaojiita wachambuzi uchwara huwezi kuwasikia leo na story zao uchwara.
Aziz K, Aucho, Diarra wote first eleven kwenye kuwakilisha mataifa yao wote hawa ni wachezaji wa Yanga hongera sana Eng kutuletea top players Tanzania hakuna cha maokoto pale Yanga jiulize vipi Sawadogo anachezea lini timu yake.
Leo T/Stars Bacca, Job, Nondo, Muda wote ndani wakitengeneza ukuta wa Zege sio ajabu hata goli kufungwa na kijana aliyekulia pale yale Simon Msuva. Halina shaka Yanga ndio timu yenye quality players kwa Sasa.
Wale wasemaji wa Yanga wa kujitegemea njooni mseme na haya mazuri tena ya Yanga.
Andika ueleweke, magoli yake ni ya level za Uefa na world cup.Naangalia mechi kati ya Gabon vs DR Congo! Hatimaye Mayele ametetema. Hatari sana. Magoli yake ni ya aina ile ile.
Upo sahihi japo mimi ni shabiki wa Yanga ila mambo kama haya hayafai kwasoka letuHayo ndiyo mambo yanakwamisha timu ya taifa hadi kupelekea kuachwa kwa watu muhimu kama Kapombe. Goli lilikuja baada ya kutoka kwa Mudathir na kuingia kwa Mzamiru, hilo unaliongeleaje?