Tetesi: Aziz Ki aaga Yanga SC, ahusishwa na Simba SC

Admin Moderator naomba huu uzi usifutwe, tuna kazi nao msimu ujao
 
Aziz kwenda Simba ni sawa na kutoka Ligi Mkuu ukacheze ndondo kitu ambacho hakiwezekani.
Mi sikubaliani na hayo madaraja uliyoyapanga. Simba na Yanga, wapo LEVO sawa tu! Ila, huyo Azizi akitoka Yanga kwa sasa, hatajiunga na timu yoyote ya hapa Tanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…