Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu.
---

1716915839261.png
Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo nyota wa Azam FC, Feisal Salum aliyemaliza na mabao 19

Aziz Ki amepachika mabao matatu kwenye ushindi wa 4-1 walioupata Yanga SC mbele ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa mwisho wa ligi kuu wakati Feisal Salum akifunga bao moja kwenye ushindi wa 2-0 ugenini waliovuna Azam FC mbele ya Geita Gold FC

Kabla ya hapo nyota hao wawili walikuwa wakilingana mabao baada ya kila mmoja kufunga mabao 18.
 
20240528_182330.jpg
 
Back
Top Bottom