DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kwani nimewahi kusema sifuatilii habari za Yanga?Kumbe unafuatilia habari za Yanga ila ndio ukweli wenyewe Mokoena anamtaka Ki na CRB.
Huwa sileti mada kama kwanza sijajiridhisha na jambo ninalosema.Uzi unaenda kuwa wa KIHASIBU. Muda utaongea.
Hamna timu inayo muuza mchezaji kisa tu anatakiwa? Kama ingekuwa hivyo Kibu mngemwachia au mmesahau mchezaji mpaka katoroka au Kibu sio mchezaji wenu.Meneja wake akadai kila offer ikiletwa mnaitia kapuni, mpaka watu wakaamua waingie kwenye DM ya mchezaji Instagram.Kwani nimewahi kusema sifuatilii habari za Yanga?
Na uzi tayari unasema Mokwena alishaonyesha kumtaka Aziz Ki toka baada ya mechi ya Mamelodi ila viongozi wa Yanga wakaapa hawatampa kisa dharau wanazodhani alizionyesha ingawa wote tunajua hiko ni kisingizio tu maana Yanga haina utamaduni wa kumuachia mchezaji kwa amani.
Vyura wana kiburi/jeuri ya masikiniKwa hiyo bora mchezaji anenepe kwa Mobetto kuliko kuuziwa Wydad sio!
Jikite kwenye mada. Hakuna anayeongelea habari za Kibu hapa. Usigeuze hii mada kuwa ya Usimba na Uyanga.Hamna timu inayo muuza mchezaji kisa tu anatakiwa? Kama ingekuwa hivyo Kibu mngemwachia au mmesahau mchezaji mpaka katoroka au Kibu sio mchezaji wenu.Meneja wake akadai kila offer ikiletwa mnaitia kapuni, mpaka watu wakaamua waingie kwenye DM ya mchezaji Instagram.
Wewe si umesema Yanga haina utamaduni wa kuuza wachezaji?,mimi nikaonesha utamaduni wenu kwa Kibu au sio mchezaji wenu. Nijikite na mada mara ngapi Ki anatakiwa na timu mbili Wydad na CRB ,hata Kaizer walimtaka ila kwa sasa wameamua kuachana nae. Hapo kinacho subiriwa mwenye hela kubwa,ndiye anaye ondoka na mchezaji.Jikite kwenye mada. Hakuna anayeongelea habari za Kibu hapa. Usigeuze hii mada kuwa ya Usimba na Uyanga.
Maandishi ya mtu aliyekurupuka na asiyejua lolote kuhusu mambo ya mpira.Azizi Ki kwa kipaji chake anahitaji kuandaliwa Nini?!! Kua Azizi Ki wiki 2 hazimtoshi kuingia kwenye timu?!! Ama magozi ya Moroco na Club World Cup yapo tofauti na ya kwetu hapa?!!
Kwa hiyo kuonyesha utamaduni "wetu" kwa Kibu ndiyo kujikita kwenye mada?Wewe si umesema Yanga haina utamaduni wa kuuza wachezaji?,mimi nikaonesha utamaduni wenu kwa Kibu au sio mchezaji wenu. Nijikite na mada mara ngapi Ki anatakiwa na timu mbili Wydad na CRB ,hata Kaizer walimtaka ila kwa sasa wameamua kuachana nae. Hapo kinacho subiriwa mwenye hela kubwa,ndiye anaye ondoka na mchezaji.
Kwani maswala ya utamaduni aliyaleta nani au umesahau ulicho kiongea?Kwa hiyo kuonyesha utamaduni "wetu" kwa Kibu ndiyo kujikita kwenye mada?
Nimesahau embu nikumbusheKwani maswala ya utamaduni aliyaleta nani au umesahau ulicho kiongea?
Kwa akili zako lazima usahau sio kosa lako, ila uzuri JF inatunza risiti kasome comments zako na zangu halafu utaona nani aliyeanza kuzungumzia tamaduni kwenye maswala ya usajili.Nimesahau embu nikumbushe