Aziz Ki hatakuja kuuzwa Wydad AC

Kwa akili zako lazima usahau sio kosa lako, ila uzuri JF inatunza risiti kasome comments zako na zangu halafu utaona nani aliyeanza kuzungumzia tamaduni kwenye maswala ya usajili.
Nasimama na nilichosema katika mada yangu. Mengine hayo ya kina Kibu nakuachia wewe uliyeyaleta
 
Kamuuze Kibu au Panzi kama watawakubali
Au hapo umbumbumbuni hakuna wachezaji wanaotoka kucheza nje

Mnataka tuwauze ili tusiwafunge 5
Haya nayo malimbukeni bana...mlishachezea 5 mkala 6 mkala 4 za kutosha...hii ndo tofauti yetu na nyie malimbukeni....
Nyie ni mabinafsi ndo maana mayele akaondoka freee mamburura nyie...roho mbaya chuki husda....
Sfr hii mtafungwa 10 na mnyama
 
Mayele kauzwa 1 billion
Feisal kauzwa million 700
Mzize na Aziz ki watauzwa 5bilions
 
Haya nayo malimbukeni bana...mlishachezea 5 mkala 6 mkala 4 za kutosha...hii ndo tofauti yetu na nyie malimbukeni....
Nyie ni mabinafsi ndo maana mayele akaondoka freee mamburura nyie...roho mbaya chuki husda....
Sfr hii mtafungwa 10 na mnyama
Mayele aliondoka bure?
 
Aishi miaka mingi mzee Rage ! Kiama kimefika kama ulivyosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…