Aziz Ki hatakuja kuuzwa Wydad AC

Msimu ujao bwana nategemea fagio kubwa sana kuna watu wameshaitumikia sana yanga hebu wakatafute changamoto pengine ikiwemo Aziz/Chama/Farid Musa/Yao kwasi pancha/bakari nondo/Kenedy Musonda/komein aboubakary/Aucho
 
Msimu ujao bwana nategemea fagio kubwa sana kuna watu wameshaitumikia sana yanga hebu wakatafute changamoto pengine ikiwemo Aziz/Chama/Farid Musa/Yao kwasi pancha/bakari nondo/Kenedy Musonda/komein aboubakary/Aucho
Aucho bado hana replacement, Mwamnyeto pia tusikurupuke hao wengine waende
 
Mpira wa Tanzania ni ngumu watu kujadili bila kutukanana aisee kuongelea mpira kistaarabu ni ngumu kabisa..
 
Aucho bado hana replacement, Mwamnyeto pia tusikurupuke hao wengine waende
Akitoka replacement itapatikana
Ni either formation ya timu ibadilike ama tuendelee kuwa tegemezi wa aucho mpaka akikosekana tuwe tunavuja vibaya sana kitu ambacho binafsi nakikataa aheri tuvuje tu tujue moja badae itakaa sawa
 
MALA YA KWANZA NILIJUA UNA AKILI TIMAMU NIKAWA NASOMA MADA ZAKO.

Nimekuja kugundua kuwa wewe ni mtu mzima Empty kabisa kichwani.

Huna akili
MALA ❌
MARA βœ…

SHULENI ULIKWENDA KUJIFUNZA UJINGA?
 
sawasawa uwe unajiridhisha kama hivyo ndio unaleta mada mkuu

muda umeanza kusema jambo

πŸ˜‚πŸ˜‚Jf kuna utitiri wa Wahasibu hadi sio poa.

Habari ndugu πŸ‘‹
Nilikuwa sahihi. Mambo yamebadilika na Yanga kulegeza kamba baada ya mtu waliyetaka kumkomoa kuondoka pale Wydad.

Sidhani kama Wydad wako serious tena na Club World Cup, naona wanajipanga zaidi kwa msimu ujao. Tukumbuke pia Aziz Ki mwakani atakuwa anacheza CAF Shirikisho, "kombe la kina mama, yaani UMISETA, yaani netball" kama alivyosema Mnyambo wa kyerwa zamani akijulikana kama @Ngara23
 
Mkuu ulikosea sana kuona Hawa utopolo Wana uwezo wa kumbakisha huyu jamaa ..walijaribu jaribu kwa kufanya lobbying na kukusanya matajiri wa kumlipa na mke juu, ila jamaa akaona hapa atakuja kua kama mrisho ngassa..sasahivi Yuko angani anaitafuta Casablanca...
 
Unapata tabu ukiwa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…