Aziz Ki hatakuja kuuzwa Wydad AC

Yan makolo ni wachawi nyie inafika kipindi mnashindwa kujificha mnaamua kuuonesha wazi uchawi wenu. Haya ona sasa hii aibu yako sijui utaificha wapi?
 
Mbumbumbu mtatoka usingizini lini?

Hili ni pigo lingine la kihasibu.

Utabiri wako umetimia mkuu

Usipoteze kapu lako la uganga😂


Umewahi kuwaza mleta mada ndio angekua mgawa ridhiki?

Yan makolo ni wachawi nyie inafika kipindi mnashindwa kujificha mnaamua kuuonesha wazi uchawi wenu. Haya ona sasa hii aibu yako sijui utaificha wapi?
Nilikuwa sahihi kabisa. Sababu kuu iliyokuwa inakwamisha Aziz Ki kuuzwa Wydad haipo tena. Uto wamesubiri hadi Mokwena kafungishwa virago ndiyo wamekubali kumuuza Mr. Mobetto.

Halafu muache hii tabia ya kukaa kimya mtu anapoleta mada, mnakuja kuibuka kutoka vichakani baadae.

Your browser is not able to display this video.
 
kwa nini haya mambo mkuu haujayaeleza tangu ulipotoa post yako mwaka jana?
 
Hii ndio source ya kuleta JF? Siyo market transfer?

Yani watu na akili zetu source yetu iwe Micky? Kweli unetudharau kwa kiwango hiki?

Usije ukaweka akili yako ukaamini habari yoyote kuhusiana na Yanga. Amini habari nyingine anazotoa ila sio kuhusiana na Yanga.

Kuna watu Uzi zao hua zinapindia mwishonii.

Kiko wapi

Hawa jamaa nyuzi habari zao sijui huwa wanatoa wapi.
Ila uto mnajinadi kabisa mko smart halafu bado mnaamini Aziz Ki anaweza kuuzwa karibia shilingi bilioni 4. Inahuzunisha kwa kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…