Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Sio ishu za imani leta source, hizo mambo za shekeli sio imaniIla uto mnajinadi kabisa mko smart halafu bado mnaamini Aziz Ki anaweza kuuzwa karibia shilingi bilioni 4. Inahuzunisha kwa kweli....
Source ngapi unataka maana umeshapewaSio ishu za imani leta source, hizo mambo za shekeli sio imani
.
Source yenyewe ndio hii??Source ngapi unataka maana umeshapewa
Haya mkeka huu hapa. Mkawa mnadanganyana kauzwa kwa karibia bilioni 2. Yaani uto
View attachment 3346758
Shida yako ni source au kujua kama mimi ndiyo Micky? Mbona unajiumauma kama vile umekutwa katikati ya tendo la nyeto.Source yenyewe ndio hii??
Au wewe ndo Micky mwenyewe??
Shida ushaijua mzee, acha mipasho leta source ya uhakika. Walau hata klabu mojawapo kutoa tamko sio "niamini mimi" wa instagram.Shida yako ni source au kujua kama mimi ndiyo Micky? Mbona unajiumauma kama vile umekutwa katikati ya tendo la nyeto.
Umetoka kuulizia source ambayo umeshapewa, ukaja kuuliza kama mimi ndiyo Micky, umefikia kutaka "source ya uhakika". Unapoelekea unapajua wewe mwenyewe.Shida ushaijua mzee, acha mipasho leta source ya uhakika. Walau hata klabu mojawapo kutoa tamko sio "niamini mimi" wa instagram.
Tukubali kutokubaliana.Umetoka kuulizia source ambayo umeshapewa, ukaja kuuliza kama mimi ndiyo Micky, umefikia kutaka "source ya uhakika". Unapoelekea unapajua wewe mwenyewe.
Nini hicho usichokubaliana nacho?Tukubali kutokubaliana.
Vyote ulivyoandika kwenye huu uziNini hicho usichokubaliana nacho?
Mbona kinyonge sana? Kwa mtazamo wako, Aziz Ki anaweza kuuzwa zaidi ya shilingi bilioni 1?Vyote ulivyoandika kwenye huu uzi
NdioMbona kinyonge sana? Kwa mtazamo wako, Aziz Ki anaweza kuuzwa zaidi ya shilingi bilioni 1?
Shida imeanzia hapo. Thamani ya mchezaji haiji tu kwa sababu ya matamanio yako bali kwa tathmini ya kweli ya mambo mbalimbali yanayomhusu kama vile uwezo, umri, uzoefu, kiwango chake wakati husika, nk. Ukivizingatia hivyo vyote utagundua Aziz Ki hana thamani hiyo mliyokuwa mnatamani kulipwa.Ndio
Sawa.Shida imeanzia hapo. Thamani ya mchezaji haiji tu kwa sababu ya matamanio yako bali kwa tathmini ya kweli ya mambo mbalimbali yanayomhusu kama vile uwezo, umri, uzoefu, kiwango chake wakati husika, nk. Ukivizingatia hivyo vyote utagundua Aziz Ki hana thamani hiyo mliyokuwa mnatamani kulipwa.
Mashabiki wa Yanga mmejaliwa vitu vingi ila mnakosa common sense na hilo linawasumbua sana.
Jibu fupi sana. Jibu hoja....Sawa.
Unapenda mabishano yasiyo na faida yoyote ndgu yangu.Jibu fupi sana. Jibu hoja....
Tuendelee bana! Mabishano yetu yana faida katika kujua mbivu na mbichi. Tumedanganywa sana hapo kati, hii itasaidia kusafisha upotoshaji uliokuwa umesambaa.Unapenda mabishano yasiyo na faida yoyote ndgu yangu.
Kujibu kifupi namna hiyo ni kukupa ujumbe kua siendelei na huo mjadala.
Akili ndogo sana inatumika kung'amua hilo mkuu.
Weka wazi bila mabishano.Tuendelee bana! Mabishano yetu yana faida katika kujua mbivu na mbichi. Tumedanganywa sana hapo kati, hii itasaidia kusafisha upotoshaji uliokuwa umesambaa.