Aziz Ki kumuoa Hamisa: Mama yake mzazi amtolea Uvivu Rais wa Yanga SC Injinia Hersi kuacha kuwa na kimbelembele

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mama wa Mshambuliaji wa Yanga Stephanie Aziz Ki "Sanata Ki" amemvaa rais wa Yanga Eng Hersi Said kwa kusimama kama mwakilishi wa familia kwenye maandalizi ya harusi ya mtoto wake bila yeye kushirikishwa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa

"Hersi ngoja nikuambie kitu, wewe si mtu wa kupanga harusi ya mwanangu, wewe ni kiongozi masikini tu anayetaka kwa hali yoyote kwa damu au moto, kumbakisha kijana huyu Tanzania.

"Unaweza kuandaa harusi yake ikiwa ana furaha alhamdoulilah... Lakini usimtajie kile ambacho si Kweli... Unatumia maisha yako kusema uwongo. Hiyo ni wewe usiiweke familia hii ya thamani katika upuuzi wako, sawa?, Usijali atakua Mungu ni mmoja.

"Vipi nimekupa ruhusa ya kuandaa na wakati sipo, inakuwaje?, Inakuwaje msichana anataka Mwanaume bila kujaribu kujua familia yake, Ilikuwa sehemu ya mkataba wake, kazi na mpira wa miguu ndivyo hivyo."- Ameandika Sanata Ki.


Hii Ndoa kwa Mapungufu kadhaa ninayoyaona ikidumu Mwaka Mmoja basi 'Nitaukweka' kutoka Kampala hadi Dodoma.
 
Ambatanisha na link Mzee baba
 
Anatafuta Kiki tu
 
Aya yaah kuolewa utarudii nyumbn kutembea oooh kuolewa utarudii nyumbn kutembea oooh kuolewa utarudii nyumbn kutembea
 
Siamini kama kweli Azizi Ki anampenda Hamisa, huyu Azizi atakuwa kalishwa tu dawa za unyamwezini kumpumbaza Aziz. Si kawaida na inakuwa vigumu sana kwa mwanamme kuoa mwanamke 'cha wote' tena mwenye watoto na wanaume tofauti tofauti. Sidhani kama hii ndoa itadumu, Azizi nyege ikimuisha tu, akili itamrudi.
 
Aziz Ki mshamba sana.

Hapo anatapeliwa mchana kweupeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…