Aziz Ki kumuoa Hamisa: Mama yake mzazi amtolea Uvivu Rais wa Yanga SC Injinia Hersi kuacha kuwa na kimbelembele

Wanaume wa Dar es Salaam wakiwa kwenye mazungumzo:
''Ehee utakosaje harusi ya Misa jomoni''
''Jamani Diamond kaopoa demu mzuri, hadi raha''
''Yule beki wa Yanga ananikosha, wee acha tu''
''Tena nimekumbuka, ngoja nim-follow Wema account yake ya Tik Tok''
''Umewahi kula tunda kimasira wewe''?
Wanaume wa nchi nyingine wakiwa kwenye mazungumzo
''Kesho nakuja tumalizie ile project ya AI''
''Hivi ni investiment gani ni bora kwa watoto wangu?''
''Hawa virus inaonekana wamekuwa sugu, tuangalie namna nzuri ya ku-deal nao''
''Kesho tunazindua engine ya ndege inayotumia mafuta kidogo zaidi''
''Ile nchi watoto wengi wanakufa kwa utapiamlo, tujitahidi kuwapa misaada''
 
Haandiki kiingereza. Kule hawaongei kiingereza, ni translations kwenda ngeli ndo inazinguaga especially kama kulikuwa na typing errors
Mama wa Aziz amefanya interview kadhaa kwa kiingereza safi kabisa amesoma soma kidogo.
Nenda Yanga TV YouTube channel umsikikize huyo mama. Aziz mwenyewe anaongea na kuandika kiingereza kizuri.
Baadhi ya errors kweli inaweza kuwa typing error. Nyingine ni pure grammatical errors.
 
Siamini Mama wa Aziz Ki anaandika kiingereza kibovu vile.
Hii wametengeneza wabongo wenye wivu.
Bora umesema maana mimi habari yote sijaielewa ya kiingereza na ya kiswahili pia
Nasubiri kufokewa πŸ˜„
 
Jamaa kaamua kuoa majanga lakini kwann wengine mnampangia maisha kama vile mtaumia nyinyi?!
 
Dogo kapalaziwa ligime gume naye kaingia king
 
Aziz katekwa, Usikute Hersi na mobetto wameshamchota mchanga na kumroga

Aangalie asije akarudi na njumu za kuchezea mpira kwao, Pesa yote imetafunwa na singo maza
 
Mama ameshtuka, Zamani ilikuwa ni Tanga peke yake ndio ukioa huko hurudi tena kwenu, sasa ni Tanganyika yote. Keshokutwa utasikiaAziz kapewa uraia na Burkina faso ndo basi tena
 
Hamisa aliyekuwa na Rick Ross, Diamond na Majizzo ndo atatuliwa kwa Aziz K? Jamaa ni mshamba hata hajishtukii hao waliopita sidhani kama anaweza kufikia hata nusu ya hela walizonazo
Mapenzi ya hawa wawili yametokana na yanga,,,pengine wamefikia kuoana baada ya kugundua mambo mengine wakiwa ndani ya uhusiano. Lakini Pesa sio sababu,,,Hamisa ana pesa pengine kuliko Aziz Ki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…