gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Nimeshangaa sana yaani mchezaji wa kigeni ambaye ni proffessional na amewahi kuwa MVP wa nchi anacheza utumbo tu na kocha hamuoni.
Kutuliza mpira hawezi
Kupiga pasi hawezi
Kila akijaribu ku dribo ananyang'anywa mpira
Kila muda anapoteza mpira yeye tu
Yanga wangekuwa na akili wangemuuza tu kitendo cha kumbakisha kitawakosti
Kitu pekee anachoweza labda kupaka mableach na kuvuta shisha.
"Ukinuna uwe una sababu"