Aziza ameongezewa asilimia ngapi ya mshahara?

Umenikumbusha swali la 50 la mtihani wa hisabati...lilihusu Ankara
 
Umenikumbusha swali la 50 la mtihani wa hisabati...lilihusu Ankara
 
Umenikumbusha mbali umenitia na hasira yaani,kunashirika nilifanya kazi yaani nyongeza ya mshahara ilikuwa 5%yaani hadi maboss walikuwa wanademand waongezewe nao kiasi hicho sawa na staff wachini,hebu imagine 5%ya 200,00/ na 10,000,000
 
Aziza anauza duka la dawa huko Sinza kwa wajanja. Analipwa shs 1500 kwa kutwa. Aziza ni mcheshi sana na anaimudu kazi yake.

2018 hii boss wake ameamua ampe sh 1800 kwa kutwa. Aziza ameongezewa % ? Ya mshahara wake?
Yani wife nimeamua rasmi kukukataza kunywa wine....
 
Ila boss wa aziza nae mgomv c asingemuongeza kuliko kwa alichokifanya kwa aziza na usikute alijitapa kwa marafiki wa aziza kua atamuongeza mashahara mnono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…