Tena alifunga kwa kusaidiwa na majini (alilalama akisema hayataki majini yao).Aziz Ki sio striker ni kiungo ana goli kumi na tatu hadi muda huu na ligi ndo kwanza bado ina mechi za kutosha. Kama ataendelea na consistency hii ( of which I blv he will) anaweza kumaliza na goli zaidi ya 20.
Mayele misimu yake yote miwili hakuwahi kufikisha goli 20 aliishia goli kumi na saba na alikuwa striker.
Moderator Kichwa cha Uzi kiwe " Azizi Ki anavyo mu-expose Mayele "
MKuu hii haihusiani na bandari zako kweli?Hii kihasibu imekaaje ndugu OKW BOBAN SUNZU ?
Aziz KI kwà hisani ya MAJINI FC ni bora Kuliko MWAMBA MayeleAziz Ki sio striker ni kiungo ana goli kumi na tatu hadi muda huu na ligi ndo kwanza bado ina mechi za kutosha. Kama ataendelea na consistency hii ( of which I blv he will) anaweza kumaliza na goli zaidi ya 20.
Mayele misimu yake yote miwili hakuwahi kufikisha goli 20 aliishia goli kumi na saba na alikuwa striker.
100% correctNiseme ukwel sikua namuamin Gamondi at all ,ni hiv karibuni tu. Na hii ilikua inanifanya nisione hata cha maana anachofanya Yanga. But now, hapana, Yanga wanapiga mpira bwanaa. Yan huyu Ki huyu hakyanani kuna mambo mengi sana inaonekana bado ameyahifadhi anayatoa taratibu taratibu na ofcz yes, bwana LIKUD , kuondoka kwa mayele ndio kumezid kumfanya Ki halisi aonekana katika uhalisia wake.
Ki mtu bwana