middo lulyheart
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 260
- 98
Wanajamvi naamini mko salama,
Binafsi ni mpenzi sana wa Muziki mara nyingi nikitoka mishe zangu naweka redio ambayo inaplay muziki na mara nyingi naweka WASAFI FM.
Aisee kila inapofika saa Mbili najitahid sana kusikiliza hii redio lakini duh ni madudu matupu humo watu kama wapo grocery wanapiga moja mbili tatu.
Wadada wanajisifu eti kupenda wanaume wenye hela dah.
Watangazaji hawana kitu kichwani ni upuuzi mtupu humo.
Nassibu asipo angalia hawa jamaa watamuangusha sana kwenye ku brand redio yake.
Watu tunaanza kuipenda radio hii kwa sababu ya muziki na sio Watangazaji. Wakianza tu kutangaza tunabadilisha station.
NASSIBU KAA MACHO NA MARAFIKI ZAKO ULIOWAAJIRI HAPO.