BLOCK 89

BLOCK 89

Niliwahi mara moja boss wao alipokuwa anahojiwa akaropoka yale ya zari. Aisee the whole interview was awkward, totaly unproffesional. Hadi unawaza inamaana waliowaajiri hawalioni hili? From there i never bothered.

Basi kuna mabadiliko makubwa sana——
 
Mbona malalamiko haya ni mapya?

Hakuna ambacho kitakuwa kikamilifu hata tukiwapa miaka 1000! Hata radio kongwe matatizo na mapungufu ni haya haya.... lakini kama nimsikilizaji utagundua kuna mabadiliko!
 
Kada huwa hukosekani kwenye mada kama hizi.
Vipi ww n ndugu mtangazaji?
Hakuna ambacho kitakuwa kikamilifu hata tukiwapa miaka 1000! Hata radio kongwe matatizo na mapungufu ni haya haya.... lakini kama nimsikilizaji utagundua kuna mabadiliko!
 
Wakati wewe Unadai sio kizuri,wenzio sauti Sol wasanii wa Kenya walipokuja Tz wiki ilopita walifanya media tour dsm.na baada ya kumaliza tour walipost insta kuwa hawajawai kufanyiwa interview bora Kama ile pale wasafi fm,kwa Ukanda wote wa Africa mashariki na kati.check insta ya sauti Sol utaona.
 
Unproffesional kabisa kwenye kupiga jingles..jingles haziachiani nafasi kabisa..Babaako wahuni sio watu wazuri,kizazi jeuri,Lock nene..Hivi the Bar tender ipo?
 
Mtu Imara
Jonijoo
ThisisAliyaah
Calypso

Show yao naikubali, nikimaliza Sports Extra natune kwao

Ukiachilia Block 89, the story book nayo iko poa
 
Back
Top Bottom