SoC02 Block chain technology kuwa suluhisho la mapato tukiacha tozo

Stories of Change - 2022 Competition

Saleh Makungu Juma

New Member
Joined
Sep 13, 2022
Posts
1
Reaction score
1
BLOCK CHAIN TECHNOLOGY

UTANGULIZI
Block chain technology ilianzishwa 1991 na ikaanza kufanya kazi baada ya anguko la uchumi
lililoikubwa dunia , Satoshi Nakamoto ni mtu wa mwanzo aliyeingiza teknolojia hii na ikanza
kufanyiwa kazi 2009 kwa kuanzishwa sarafu ya mwanzo ya mtandaoni iliyojulikana kama
BITCOIN .

Block chain technology ni kitu gani?
Block chain technology ni mfumo unahusisha pande moja na pande nyengine (mtu kwa mtu au
taasisi kwa taasisi ) bila ya kuwepo mtu wa kati baina ya pande hizo mbili.

Kutokana na kuna haina mtu au taasisi inayopo baina ya pande mbili hii inapelekea mfumo huu
uwe ni wa haraka zaidi kiasi ambacho muamala unaweza kufanyika kwa muda wa saa moja tu
hata ikiwa na umbali mkubwa na vile vile makato yake yanakua ni madogo sana kulinganisha na
makato ya mifumo mengine ya kufanya miamala ya fedha.

Kutokua na mtu wa kati au taasisi ni jambo ambalo asiyejua hii teknolojia itamuumiza kichwa
kwa kua na hofu juu ya usalama wa muamala wake , ila tukienda mbali zaidi kwenye serekali
itashiriki vipi katika kupata pato la nchi kupitia hiyo teknolojia , nikutoe hofu juu ya hilo
teknolojia hii tangu ianzishwe 1991 haijawahi kupatwa kwa shambulizi lolote kulinganishe na
mifumo mengine ya kifedha.

Kwanini serekali inatakiwa ingize teknolojia hii?

Mifumo mengi ya fedha tunayoitumia katika nchi yetu imekubwa na changamoto nyingi sana
ambapo blockchain technology ni muarubaini wake , miongi mwa changamoto hizo ni.

• Huchukua muda mkubwa katika kufanya muamala , mifumo tunayoitumia imekua
changamoto katika kufanya miamala kwenda nchi za mbali huweza kuchukua hata siku
nzima mpaka kufika muamala huo ,hii tofauti na blockchain technology ambapo
haichukui zaidi ya saa moja.

• Makato kwenye ufanyaji miamala ,mifumo tunayotumia mtu hukatwa asilimia mpaka
nane (8%) ya fedha anazozotuma ,ila kwenye blockchain ni kuna makato madogo sana
ambayo hayabadiliki kwa muamala wowote unaofanya.

• Mashambulizi za fedha kwenye mifumo inayotumiwa kwa kitaalamu inaitwa CYBER
ATTACK ,licha ya usiri uliokuwepo kwenye mifumo ya fedha tunayotumia ila tumekubwa
na janga la kuibiwa kwa fedha katika mifumo hiyo ,hii ni tofauti na block chain
technology ambapo mfumo uko imara zaidi na mashambulizi kama hayo hivyo fedha huwepo sehemu salama.

Matumizi ya block chain technology ?
Block chain techonology ina tokeni (sarafu za mitandaoni) nyingi kama vile BITCOIN na
ETHEREUM ambazo hizi zinatengeneza asilimia 60% za soko ya block chain technology na ndio
ambazo zina matumizi mengi kwenye tecknolojia hii ,miongoni mwa matumizi yake ni
• Uhakiki wav yeti ,teknolojia hii imekua na uwezo mkubwa ambapo huweza kuhakiki
cheti bila ya kukipeleka kwenye taasisi iliyotolewa ,hii huonesha upekee na ubora wa
teknolojia hii.

• Kufanya malipo wa vitu mbali mbali kama vile viwanja ambapo ethereum inatumika
katika masuala ya viwanja na kunakua na mkataba ambao unakua uko na uwazi
watumiaji wa teknolojia hiyo wote hutambua hivyo udanganyifu hupungua kwa kiasi
kikubwa.

• Kutengeneza kipato kwa njia ya mtandao ,watu hutengeneza kipato kwa kufanya vitu
tofauti kama kuweza kuhakiki mialama inayofanyika (mining) ,vile vile kununua sarafu
kipindi ambacho thamani yake imechuka na kuuza pale itakapopanda (stocking)
kwasababu sarafu hizi huwa na sifa ya volatility.

Kuna faida gani ikiwa teknolojia hii itaingizwa kwenye mfumo wa fedha wa serekali yetu?
Jmbo la mwanzo ambalo tunatakiwa tujukua kua soko hili ndio ambalo lina fedha nyingi kuliko
masoko mengine yoyote ambapo takribani zaid ya trillion 2 $ zinazonguka kwenye soko hili
hivyo kuna faida nyingi zinapatikana ,miongoni mwa hizo ni

• Block chain technology ni miongoni mwa teknolojia ambayo huchangia kwenye pato la
serekali.Pato hilo hupatikana kwa kuwaruhusu watoa huduma mbali mbali kutoka nchi
zilizokuwa waelewa kwenye teknolojia hii ambapo mtu anaweza kutoa fedha za
mtandao kwa fedha za kwetu ,ukosefu wa huduma hii imepelekea watu kukimbilia nchi
yengine kufata hilo huduma kama South Africa na kuweza kuongeza pato la nchi
nyengine.

• Pia benki kuu inaweza kuanzisha sarafu yake na kuitia sokoni ili kuweza kuongeza pato la
fedha .

JUKUMU LA KURASIMU TEKNOLOJIA HII NCHINI?
Kwa sasa teknolojia hii bado hajarasimishwa ambapo watu hufanya tu kwa matakwa yao ,ili
kuweza kurasimishwa lazima iwe imekubaliwa na sehemu muhimu za serekali zifuatazo
• Wizara ya fedha
• Benki kuu
• Tasisi ya masoko na mitaji

HITIMISHO
Serekali inatakiwa kuingiza teknolojia hii nchi na kuweza kuwafundisha wananchi wake na sio
kungojea kukua kwa hii teknolojia ndio nao waanze kuanzisha, tunatakiwa tuwe tunakua pale
teknolojia inakua na sio tungojee teknolojia ije kutubalisha zaidi teknolojia hii ambayo inagusa
mambo yote ambayo mwanadamu yamemzunguka. Vile vile nchi nyingi zilizoendelea pato lake
linatokana na teknolojia hii kama vile Marekani ,china n.k.
 
Upvote 0

Kuna siku huu uza utakuja kua relevant kwenye maisha yetu halisi
 
Back
Top Bottom