[B][COLOR="#FF0000"]Hivi neno Majumui maana yake nini?[/COLOR][/B]

[B][COLOR="#FF0000"]Hivi neno Majumui maana yake nini?[/COLOR][/B]

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Posts
15,441
Reaction score
5,816
Wakuu nimekutana na neno "Majumui" mara nyingi tu sehemu mbalimbali duniani. Hata juzi wakati wa kigoda cha mwalimu nyerere nilimsikia Prof. Rwekaza Mukandala akilitaja.

Mpaka imefikia UDSM kuanzisha kozi maalumu ya Umajumui wa Afrika, sasa naombeni mnaofahamu maana yake mnieleweshe tafadhali.
 
Back
Top Bottom