Wakuu nimekutana na neno "Majumui" mara nyingi tu sehemu mbalimbali duniani. Hata juzi wakati wa kigoda cha mwalimu nyerere nilimsikia Prof. Rwekaza Mukandala akilitaja.
Mpaka imefikia UDSM kuanzisha kozi maalumu ya Umajumui wa Afrika, sasa naombeni mnaofahamu maana yake mnieleweshe tafadhali.