ckulaumu mdogo wangu kwa kuuliza maswali kama unaenda kujoin form five,kitu ccha msingi ni kuanza ku-strugle tangu day 1 coz overall performance yako iatakuwa ni average ya performance ya kila semester. kwenye soko la ajira kitu cha kwanza kumvutia mwajiri akuite kwenye interview ni performance yako,kinachofuata ni jinsi utakavyo defend performance yako kwenya interview. huyo jamaa anaedai jamaa zake hawajaitwa kwenye interview afuatilie performance. me jamaa yangu amesoma pale course iyoiyo na tangu alipomaliza 2010 amebadili kaz mara tatu( Access Bank, Deloitte then TRA asa ivi).