B.com in Management Science(Procurement & Logistic)Udom Vs B.com In International Business Udom

Chainz

Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
20
Reaction score
2
Wanajamvi nmefanya upelelezi kuhusu hizi kozi mbili lakini sikuridhishwa nazo kama kuna anayezifahamu vizuri na kwa undani naomba anielezee kwa kuwa nimechaguliwa Udom Bcom in Management Science(Procurement & Logistic) lakini nafikiria kuchukua B.com in international business baada ya kufanya upelelezi kwenye net, kabla sijafanya maamuzi ya kubadilisha kozi
 
Ngojen mje sokoni ndo matajua ni nzuri au mbaya,,,,,Tanzania haina meli,haina treni,haina ndege,,,sijui logistics utafanya kwenye maguta kariakoo???,,,,,,,
 
Wewe nenda kapige kitabu acha longo longo! Kozi nzuri ubongo wako tu, sasa kasome hiyo unayofikiri then mwisho wa siku uje mtaani na gpa ya 2 ndo utalijua jiji. Au uje na gpa 4 halafu kichwa kweupe.
 
Procurement ndio boramkuu

mi sikatai ni bora!!! lakini bora kwa vigezo gani??? je ni kwa sababu ina jina refu?? hutolewa na chuo flani?? au ninini?? embu tupe sababu isaidie na wengine...
 
Ahsanten kwa ushauri wenu Mungu awabariki naenda soma procurement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…