B.Com in Procurement vs B.Com Accounting

B.Com in Procurement vs B.Com Accounting

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wadau, mdogo wangu amepangwa bcom in procurement UDOM bt me nimemshauri akifka chuo abadilishe achukue bcom in accounting ila wadau mbalimbali ndani na nje ya familia wanamshauri akomae na hiyo procurement...so nimeona ili tusimpoteze dogo ngoja nilete hii issue kwa nyie magreat thinker ili tupate kumpa dogo mawazo yenye kujenga..naamini humu kuna wahasibu na wagavi so nategemea kupata majibu chanya kutoka kwenu nyote wadau.
 
Kuna tofaut kubwa sana kati ya Bcom in Acc na Bcom in PLM na ndyo mana kuna NBMM na NBAA, uhasibu ipo deep kidogo kuliko ugavi. Huo ndyo uelewa wang.
 
kuna mtu kabla hajaomba aliulizia kwanza, watu waprocurement wenyewe ndio walikuwa wakwanza kumwambia achague accounting na siyo proc.
 
Wel,nadhani na nyie wadau mmekubaliana na wazo nlilompa la kuchange to bcom accounting!
 
Na ndyo mana hata ktk NBAA mtu aliesoma Bchlr ya PLM anaanzia ngaz ya chin tofaut na aliesoma Acc ila mtu wa Acc akienda kupga pepa za NBMM anaanza levo sawa na wa PLM au pengne zaid ila cna uhakka sana na iyo zaid.
 
Plm ni nzur sana. Acc japo ipo dip plm ktk soko ni nzur zaid.
 
cjapata majibu yenye kukonvice bado.
 
Mie ntakuuliza maswali kabla ya kukupa ushauri

1. Kwa nini anasoma? malengo yako ya kumshauri asome uhasibu ni nini?
2. Kwa nini alichagua ugavi?
3. Yeye anapenda nini na kwa nini?
4. Ukiangalia maisha yake ya kawaida anapenda kufanya nini?
5. Unahisi ataishia kuajiriwa au ni mtu wa kuweza kufanya mishe zake?
6. Unadhani kama ungempa options ya kuchagua kati ya numbers intensive subjects na words intensive subjects angeweza nini?

Angalizo:
Kozi yoyote unayosoma ni nzuri au ni mbaya kutegemea na malengo yako ya maisha badae. kwa ushauri mwambie asome kozi ambayo kwanza ataimudu na pili itamsaidia kufikia melengo yake ya badae. kumbuka wakati wake wa kujenga future anayoitaka ni leo otherwise anaweza kupoteza hii miaka mitatu na akaishia kuwa frustrated.

Ukijibu maswali ntarudi
 
Na ndyo mana hata ktk NBAA mtu aliesoma Bchlr ya PLM anaanzia ngaz ya chin tofaut na aliesoma Acc ila mtu wa Acc akienda kupga pepa za NBMM anaanza levo sawa na wa PLM au pengne zaid ila cna uhakka sana na iyo zaid.

Huu ni uongo wa asubuhi,ukipga acc huwez anzia level sawa na mtu aliyesomea psm....
 
Mie ntakuuliza maswali kabla ya kukupa ushauri

1. Kwa nini anasoma? malengo yako ya kumshauri asome uhasibu ni nini?
2. Kwa nini alichagua ugavi?
3. Yeye anapenda nini na kwa nini?
4. Ukiangalia maisha yake ya kawaida anapenda kufanya nini?
5. Unahisi ataishia kuajiriwa au ni mtu wa kuweza kufanya mishe zake?
6. Unadhani kama ungempa options ya kuchagua kati ya numbers intensive subjects na words intensive subjects angeweza nini?

Angalizo:
Kozi yoyote unayosoma ni nzuri au ni mbaya kutegemea na malengo yako ya maisha badae. kwa ushauri mwambie asome kozi ambayo kwanza ataimudu na pili itamsaidia kufikia melengo yake ya badae. kumbuka wakati wake wa kujenga future anayoitaka ni leo otherwise anaweza kupoteza hii miaka mitatu na akaishia kuwa frustrated.

Ukijibu maswali ntarudi

anapenda zaidi uhasibu
 
Eti B'com Acctng ipo dip kuliko B'com PLM hayo ni mawazo potufu kabisa.kila cource ina kamilishwa na unit sawa kabisa mwanafunzi wa Procurement anazama zaidi katika masuala ya Procurement kuliko mwanafunzi wa Accounting vivyo hivyo mwanafunzi wa Accounting anajikita zaidi katika masuala ya Accounting kuliko mwanafunzi wa Procurement.
 
tusaidie sasa...we kwa mtazamo wako ipi ni nzuri.
 
anapenda zaidi uhasibu

Basi ni vema ukamshauri asome kile anachopenda which is accounting. lakini hizo habari zingine za kusema course hii ni rahisi kuliko course hii hazipo kabisa. kila course ina mambo yake ambayo ni magumu.
Akihitimu vizuri katika uhasibu anaweza kufanya kazi taasisi nyingi sana maana karibu kila taasisi inahitaji mhasibu. Lakini pia anaweza kufanya kazi kwenye business related areas kama vile credit analysis, compliance, risk management, audit et.c
but ili kuwa mhasibu kamili atahitaji kukumbana na rungu la NBAA na/au ACCA ili atambulike kama mhasibu kamili
 
Bcom Accounting coz inawigo mpana sana katika soko la ajira ila CPA na other professional qualifications nivya lazima
 
Wadau vipi kuhusu BA-AF na hizo kozi nyingine mnazotaja hapo juu?

iyo Bachlr os Arts in Acc & Financ ipo lighter tofaut na izo apo juu ila ni kitu kimoja kwan kuna Bchlr of Commerc pia kuna Bchlr of Science in Acc & Fin. Sawa sawa na kusema Basic Mathematics na Applied Mathematics kwa wanaosoma olevo au Basic Applied Math na Advanced Math kwa a levo.
 
Utofauti katika kazi zao ni upi?
 
Back
Top Bottom