Na ndyo mana hata ktk NBAA mtu aliesoma Bchlr ya PLM anaanzia ngaz ya chin tofaut na aliesoma Acc ila mtu wa Acc akienda kupga pepa za NBMM anaanza levo sawa na wa PLM au pengne zaid ila cna uhakka sana na iyo zaid.
Mie ntakuuliza maswali kabla ya kukupa ushauri
1. Kwa nini anasoma? malengo yako ya kumshauri asome uhasibu ni nini?
2. Kwa nini alichagua ugavi?
3. Yeye anapenda nini na kwa nini?
4. Ukiangalia maisha yake ya kawaida anapenda kufanya nini?
5. Unahisi ataishia kuajiriwa au ni mtu wa kuweza kufanya mishe zake?
6. Unadhani kama ungempa options ya kuchagua kati ya numbers intensive subjects na words intensive subjects angeweza nini?
Angalizo:
Kozi yoyote unayosoma ni nzuri au ni mbaya kutegemea na malengo yako ya maisha badae. kwa ushauri mwambie asome kozi ambayo kwanza ataimudu na pili itamsaidia kufikia melengo yake ya badae. kumbuka wakati wake wa kujenga future anayoitaka ni leo otherwise anaweza kupoteza hii miaka mitatu na akaishia kuwa frustrated.
Ukijibu maswali ntarudi
Eti B'com Acctng ipo dip kuliko B'com PLM hayo ni mawazo potufu kabisa.kila cource ina kamilishwa na unit sawa kabisa mwanafunzi wa Procurement anazama zaidi katika masuala ya Procurement kuliko mwanafunzi wa Accounting vivyo hivyo mwanafunzi wa Accounting anajikita zaidi katika masuala ya Accounting kuliko mwanafunzi wa Procurement.
anapenda zaidi uhasibu
Wadau vipi kuhusu BA-AF na hizo kozi nyingine mnazotaja hapo juu?
iyo Bachlr os Arts in Acc & Financ ipo lighter tofaut na izo apo juu ila ni kitu kimoja kwan kuna Bchlr of Commerc pia kuna Bchlr of Science in Acc & Fin. Sawa sawa na kusema Basic Mathematics na Applied Mathematics kwa wanaosoma olevo au Basic Applied Math na Advanced Math kwa a levo.