tusaidie sasa...we kwa mtazamo wako ipi ni nzuri.
Mkuu Perry Mimi nimesoma zote mbill (Accounting & Procurement) bahati nzuri zote mbili nimezifanyia kazi.Sidhani kama unaweza kusema moja ni nzuri kuliko nyingine inategemea na kampuni au idara utakayofanyia kazi.Procurement ina fedha sana kama ukibahatika kuajiriwa kwenye halmashauri za miji au mashirika ya umma hauchelewi kupata fedha haraka.Accounting ni nzuri pia lakini siku hizi kazi za accounting zinafanywa na packages mahali pa kuajiri watu 6 anaweza kuajiriwa mtu mmoja tofauti na enzi zetu ukiajiriwa katika mashirika ya umma unakuta kuna Payable controller,Receivable,costing & budget siku hizi kazi za budget zinafanywa na packages boss hana haja na management accountant kama atakuwa na uelewa mzuri wa packages ya accounts,boss pia atakuwa hana haja na mhasibu wa receivable akitaka kujua habari ya Ageing summary ya debtors anaweza kuamua kubaki na mhasibu mmoja tu wa kupost Invoices na akapata ripoti zote.

Na ndyo mana hata ktk NBAA mtu aliesoma Bchlr ya PLM anaanzia ngaz ya chin tofaut na aliesoma Acc ila mtu wa Acc akienda kupga pepa za NBMM anaanza levo sawa na wa PLM au pengne zaid ila cna uhakka sana na iyo zaid.
Hizi ni kozi mbili tofauti sana japo baadhi ya masomo wanasoma wote.Fani hizi zinasimamiwa na bodi tofauti kabisa.Na hata hivyo hiyo anayosema ni com with addtion ya procurement.Kuna wanao soma pure procurement sasa bachelor ila kwa sababu ya upungufu wa wataalamu hao,ndio maana unakuta in .......na kuna wanaosoma pure accounting.bora aende hiyo ya procurement maana accounting hawana ajira kabisa zaidi ya uclerck bank.procurement si manunuzi tu bado anaweza kujiajiri badae kama supplier na kufanya biashara zake!

Well said.maisha unayajua sana wew.mabank teller weng. Ni wahasibu na Maloan ofimficers wasugua magaga
mim nasoma bachelor of accountancy. ni nzuri kwa mtu anaependa somo la hesabu tokea awali. pia naamin wahasibu wana wigo mpana zaidi wa ajira kuliko proc naunga hoja ya ndugu aliyesema kila ofisi inahitaji mhasibu ila sio kila ofisi inahitaji procurement officer kwasababu inawwzekana mhasibu akafanya kazi za proc ila si rahis proc kuhimili kaz za mhasibu japo wote wanapata basics za kazi za mwenzake. huu ni mtazamo wangu ila kikubwa dogo aseme anapenda nin