B.Ed Mathematics vs B.Ed in Science

B.Ed Mathematics vs B.Ed in Science

tzhumoally

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
412
Reaction score
156
waungwana nahitaji kujiunga degree ya ualimu moja kati ya hizo nilizozitaja hapo juu,naomba kwa walio na uzoefu waniambie ipi kati ya hizo ni bora?na ipi nikimaliza naweza kufanya master ya statistics au master ya mathematics kwa urahisi bila kupitia post graduate?na chuo kipi kusoma hio course ambayo unaona wewe ni bora,..ahsanteni
 
Back
Top Bottom