B Hits ilitubariki vya kutosha

B Hits ilitubariki vya kutosha

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
B HITS ILITUBARIKI VYA KUTOSHA

Hermy B alikuwa akifanya kazi redioni lakini akawa anajiiba humohumo baada ya vipindi kuisha na kurekodi kazi binafsi mpaka aliposimamisha studio yake na kutambulika.

Hermy alianza kufahamika zaidi kwa mikwaju aliyofanya na MANSU LEE (KINA KIREFU NA SURA YA MCHEZO) lakini baadaye wakazinguana.

Nikumbushe ule mstari wa Stereo, " ilofanya watengane Mansu Lee na Hermy B"

Hermy akaja kuwa na jina kubwa alipoanza kufanya kazi na AY na FA, baada ya wawili hao kujitoa ECT kabla ya kusikika kwenye magoma kadhaa ya wasanii TOFAUTI.

Nilianza kumsikia PANCHO LATINO MAFIA akiwa DHAHABU RECORDS pale kwa DULLY na mgoma wake wa kwanza mkubwa ulikuwa DAR ES SALAAM STAND UP wa CHID BENZ.

Baada ya hapo, Pancho akahamia B HITS na kufyatua magoma makali yanayolia mpaka leo.

Miaka ikapita, Pancho akajawa na stress na kuandika ujumbe wenye utata mtandaoni na siku kadhaa mbele akakumbwa na mauti.

Kitu kikubwa ni kwamba ugomvi kati ya Dully na Pancho uliisha na Pancho akarudi Dhahabu na kutoa MDANANDA Kisha akaendelea kupiga mzigo B HITS.

Ngoma zilizosukwa na Pancho akiwa DHAHABU RECORDS
1. DAR ES SALAAM STAND UP - CHID BENZ FT DITTO
2. KUPATA NI MAJALIWA - OMARI OMARI
3. MDANANDA - SHETTA FT DULLY, TUNDA
4. BABY CANDY - DULLY
5. WATASIMULIWA - DULLY
6. KUPENDA - DULLY
7. MAKE IT RAIN RMX - BLUE
Ngoma zilizosukwa na Pancho akiwa B HITS
1. BORA NIKIMBIE - LINAH
2. DESTINY - M RAP FT DEDDY
3. NEEMA - MAKAMUA
4. BRAND - JOH MAKINI
5. BYE BYE - JOH MAKINI FT G NAKO
6. KARIBU TENA- JOH MAKINI FT FATMAH
7. KITU CHANGU - NICK II FT LINAH
8. HIGHER - NICK II
9. NDEGE MTINI - FEROOZ FT SHOZ DEAR
10. USHINDI NJE NA NDANI - FEROOZ
11. TUNAPLAY RMX - SHETTA FT FA, MBISHI, BELLE, ZILLA
12. KIFUA MBELE - SHETTA FT BELLE
13. PESA IKO WAPI - MABESTE
14. DOLE - MABESTE FT DEDDY
15. BAADAYE SANA - MABESTE FT JUX
16. SIRUDI TENA - MABESTE FT JUX
17. USIJE MJINI - FA, AY
18. TUNADANGANYANA - EAST COMER (NURDIN NA FIDODIDO)
Ngoma zilizosukwa na Hermy B
1. Kina kirefu - Mansu Lee
2. Sura ya mchezo - Mansu Lee
3. TZ HUSTLER- NGWEA FT J SON
4. Zigo Rmx - Ay ft Diamond
5. Zigo - Ay
6. Habari ndiyo hiyo- AY, FA
7. Leo Rmx - AY
8. Microphone - AY ft Fid Q
9. Freeze - AY ft P square
10. Good look - AY ft Ms. Trinity
11. NAONGEA na Wewe - FA
12. Ahsanteni kwa kuja - FA
13. Bado nipo nipo kwanza- FA
14. Nangoja ageuke - FA
15. Unanijua unanisikia - FA
16. Msiache kuongea - FA FT JIDE
17. Nazeeka sasa - FA ft Chid, Ay
18. Nazeeka sasa rmx - FA ft Sugu, Jay
19. Turn up - Country Boy ft FA
20. Jela, Kifo, Umma, Taasisi - Langa

Beat ya Pancho ninayoipenda zaidi ni DAR ES SALAAM STAND UP
Beat ya Hermy ninayoielewa zaidi ni TZ HUSTLER ( BATA KILA SEHEMU SEHEMU- NGWEA)

Ongeza ngoma ZILIZOSAHAULIKA kutoka kwa Pancho na Hermy.
Beat gani unazielewa kutoka kwa wamba hawa?
B HITZ.

340209530_169391569353655_7276752355076900991_n.jpg

340007553_953061502364500_4488313539664491346_n.jpg
 
Kwakweli umeandika vizuri..wewe utakuwa mtu wa karibu Sana na hao maproducer..ngome zote Ni Kali Sana..
Mimi naukubali wimbo wa sirudi tena wa mabeste..
 
Ahhhh... Pancho

Nasumbukia ya kweli bye bye nishakibusu kipimo chenu Bora bye bye nishakibusu bye bye....

R.i.P Pancho Latino
 
B hits
Dash Promise
AY ft Amani x jokate
Soggy doggy ft Chege
Dj choka press play
District 9ine
On my shit
Eeh
Set it off ft godzilla
Get high godzilla
First class godzilla
Abby jewelz
Captive album
Like Saturday
Feedback district 9ine
District 9ine kidogo
District 9ine ft kim makachaa
Tammy the badest ft district 9ine
List ndefu sana aisee huu mkono wa pancho tu
 
Back
Top Bottom