B of SC IN INSURENCE AND RISKMANAGEMENT YA IFM ,JAMANI MSAAADA KWA WENYE UELEWA!

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
jamani wana jf iyo kozi nimeiomba hapo IFM vipi iyo kozi inalipa kwenye ajira? na ina salari ya ukweli? vp kujiajiri?
 
jamani wana jf iyo kozi nimeiomba hapo IFM vipi iyo kozi inalipa kwenye ajira? na ina salari ya ukweli? vp kujiajiri?

Je,ukimaliza hiyo kozi kuna mtu yeyote unayejuana nae anaweza kukupachika sehemu?Kama yupo,nenda kasome kwa moyo mmoja!Akili za kupewa...Quote by Baba Ridhi.
 
Yani wana jf mmenipotezea kabisaaa wakina vodka,stany vp mbn mpo kimya! Leten info za iyo kozi
 
we dogo kama unataka kusoma kwanza chagua course inayoipenda,bsc irm ya pale ifm si mbaya sababu hutolewa pale kwa tanzania nzima ,ila mm binasfi sikushauri kusoma maana kazi zake ni zakujuana sana kama una channel takula kwako!
kwa ifm accountacy is the best ,hizo zingine chai tu
 
kwa maoni yangu ni coz nzuri na watu wanafikiri ukisoma hiyo lazima ufanye kwenye makampuni ya insurance siku hizi hata commercial bank wanavitengo vya risk and assessment na bado nafasi kwenye kuajiriwa kwnye makambuni mengine tofauti na hayo bado ipo chance so we soma tu dogo ukisikiliza ya watu utachemka kila kazi siku hizi ni kujuana hakuna kazi ambayo unamaliza tu kesho unapata kazi labda usome u doctor na hata udoctor unapata ila wanakupeleka pande za mbali ambako we mwenyewe hupendi mpka ujuane na watu tena ndio wakupe sehemu nzuri, kila sehemu ni kujuana
 
Nimewahi kumpeleka ndugu yangu hapo..muulizie mwalimu Saqware atakusaidia infomation ni mwalimu wa insurance na social protection..anajua market ikoje..all the best.
 
HATA KWENYE MABENKI SI WANAAJIRI WATU BSC IRM ? BY mpigamsuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…