B.R.N itafanikiwa?

B.R.N itafanikiwa?

Joined
Dec 10, 2013
Posts
51
Reaction score
8
Hi brn ni mpango wa nan jamani? Nafikiria na nashindwa pata jibu maana serikali ilitangaza matokeo dar 7 kwa mbwembwe na kusifia ufaulu mzuri sana.kinachonipa shida ni muda wa hao wanafunzi kujiandaa kuingia kidato cha kwanza umekuwa ni mdogo kupita maelezo kwani hadi dec 25 serikali ilikuwa bado kimya kutangaza wliochaguliwa kujiunga na k1 na wakati wa kufungua shule ni jan 6 kwa baadhi ya mikoa, hapa naona mzaz anapata tabu ya kumuandaa mwanae aende shule akiwa amekamilika kwa michango inayotakiwa pamoja na unifom zake, B R N haipo kwa style hii.
 
80% ya ufaulu hapo mwaka 2015 inawezekana kwa juhudi za 'kupanua goli' ili wafungaji wafunge kwa urahisi. .......si unaona madaraja mapya ya ufaulu!
Ukweli ni kwamba, pasipo maandalizi makubwa jana, usitarajie Matokeo Makubwa Sasa.
 
Back
Top Bottom