B.Sc in Haematology and Blood Transfusion

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,878
Reaction score
5,432
Habari Zenu wakuu..

Naomba kwa Mtu au Doctr aliyeisoma au anayeijua Vizuri aniambie ipoje. Ni moja kati ya Programme niipendayo.

Sasa kama Yupo anaweza kuniambia Zaidi na Zaidi kuhusu Faculty hyo ambayo Ipo Muhimbili.

Na nyingine hii Hapa. B.Sc in biotechnology and laboratory sciences
Thanks
 
Mkuu kwa haematology and blood transfusion kuna course ya masters pale muhimbili kwa waliosoma medicine Kama degree ya kwanza, unaweza fika pale ama unaweza kini-pm nitakuelekeza nani umwone
 
Mkuu kwa haematology and blood transfusion kuna course ya masters pale muhimbili kwa waliosoma medicine Kama degree ya kwanza, unaweza fika pale ama unaweza kini-pm nitakuelekeza nani umwone
Ndugu inhekua vema kama ungetoa maelezo hapa coz tunaotaka kuijua ni wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…