[B]Ushauli wenu haraka jamani[B/]

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
nina tatzo mwenzenu ghafla tu nakuta baada yakula kitu chochote kile mdomo unabadilika ladha nakuwa kama kichef chef hv hata nikila chakula, pipi, au chochote kile, first nilijua vumbi ipo koon nimepga maziwa still the same problem! naomben ushauri wenu tatzo linaweza kuwa nini au nifanyeje ku escape hii problem"
 
plz mwenye kujua jaman kuhusu hyo tatzo nahc tabu tabu tabu kabla yakula nafikili xana wazee help me
 
Umeshawahi kunywa dawa za minyoo karibuni?
Ungeweza kutumia tu broad spectrum yoyote just in case wakati unaendelea kutafuta suluhisho.
 
Umeshawahi kunywa dawa za minyoo karibuni?
Ungeweza kutumia tu broad spectrum yoyote just in case wakati unaendelea kutafuta suluhisho.

nimekuelewa, i'll try
 

Pole sana Rjohn sababu zinazo sababisha kichefuchefu ziko nyingi sana,lakini cha msingi kichefuchefu au kutapika siyo ungonjwa ni dalili za ugonjwa au tatizo lililopo kwenye mwili.

Kwa sababu sababu zinazo sababisha ziko nyingi sana ila baadhi yake ni -
1.Chakula kukaa muda mwingi tumboni kutokana na tatizo katika mfumo wa digestion maana chakula kikisha ingia tumboni baada ya process zote za digestion linatakiwa liwe empty.

2.Kama mtu anatumia dawa kuna baadhi ya dawa side effects zake ni kichefuchefu.
3.Mtu mwingine akiwa na emotional stress inaweza kutokea lakini hata hasira, tulisoma na dada mmoja wa kimasai akikasirika anatapika.
4.Pia inaweza kuwa ni reaction ya mwili juu ya harufu fulani inaweza kuwa ya chakula nk.
Kwa vile sababu ni nyingi sana na sijataja nyingi ni vigumu kujua tatizo moja kwa moja bora uende hosp.wakati huohuo unaweza kula limao au machungwa kabla ya chakula.
-Si busara kukuambia utumie dawa fulani ili hali causes hatujajua.
 
hakika mkuu ni wazo zuri kwangu! by tomorror inabid nikameet na daktari kwa uchunguzi wa kitaalam zaidi
na nitafuata ushauri wenu wote kadili ya uwezo lengo likiwa nitatue tatzo, thanx all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…