the truth:
Ni kweli tabia kama hizi za kuanzisha threads nyingi zinazohusu jambo moja imekuwa sugu jf asa jukwaa hili.
Hasara yake:
Threads nyingine nyingi ambazo zina mambo mengi mazuri pia zinashindwa jadiliwa.
Faida:
Ukweli ni kuwa threads hizo zihusuzo jambo moja zinatofautiana katika uwasilishwaji wake hivyo mfano watu wawili mmoja anaweza wahi kuposti uzi wenye information kidogo na mwingine anaeza leta thread yenye information nondo...
Point of correction;
sijapendezwa na maneno yako ya kukashifu vyuo vya wengine sote mashahidi suala hili tumelichoka na watu wamekuwa wakitukanana sana humu because of that. Tuwe civilized futa hicho kipande tafadhali...