Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
DUCE ni nomaaaaa
We usiulize ubora we omba mungu upate chuo na mkopo dogo ajira serikal itakupa tu!
wote mtakuwa walimu na mshahara ni sawa
we kasome kokote kuwa competent in we mwenyewe
n sawa, lakini mi nahitaji kufaham wapi panaweza kuwa bora ili nianze na hapohapo
Ufaulu wako upoje DUCE ni competetive ukilinganisha na SAUT kama ufaulu wako ni wa juu basi its better DUCE hasa kwenye mambo ya Cost
kama ni sayansi pouwa ila kama ni Arts mhhh kwa DUCE kidogo huwa inakuwa ngumu kuwa na uhakikanina cutt off point 5 mkuu na mambo ya cost kivipi mkuu nieleweshe hapo
kama ni sayansi pouwa ila kama ni Arts mhhh kwa DUCE kidogo huwa inakuwa ngumu kuwa na uhakika
Kwa nijuavyo mimi, DUCE ni Campus ya UDSM, sawa na MUCE tu. Hata Cheti huwa kinaandikwa UNIVERSITY OF DSM, sasa we linganisha tu, na nadhani UDSM ni Chuo bora East Africa, na ipo kwenye 10 best Africa. Sio kwamba SAUT ni pabaya, HAPANA, siwezi kukiongelea coz sina xperience nayo. Asante
Sijui sana kuhusu SAUT but nipo aware sana na DUCE
Sijui sana kuhusu SAUT but nipo aware sana na DUCE
Tusaidie basi mwana kwa uelewa wako.
Nadhani DUCE kuhusu Ba.Ed ni kwamba, mtu anakuwa na masomo mawili ya kufundishia (mf. English lg & Geography), anayasoma kiundani sana, lkn pia anakuwa na kozi nyingine za ualimu (educational courses, mf. Psychology, Curriculum & Teaching, Philosophy, na kozi nyingine), hizi kozi unazusoma kwa uelewa ili ikusaidie ktk ufundishaji wa wanafunzi wa sekondari. Nadhani nimejitahidi kwa uwelewa wangu.
Mambo mengine kama utayakuta Chuo kama modality ya mitihani na utaratibu mwingine.
Lastly, ushauri wangu menda DUCE. Asante