Ba.Ed ya DUCE Vs Ba.Ed ya ST.Ag main campus

wao vipi mkuu zipo au zakugombania
Nadhani unayajua maisha ya DSM Hostel zilizopo chuo inategemea bahati unaweza kupata pia zipo Pia zile za Mabibo na nyingine zipo Mbagala.Ni rahisi kupata hostel za Mbagala lakini za Mabibo na zile za Campus ni Ngumu kidogo kupata inategemea bahati
 
Poa mkuu akhsanteh
 
Wakuu nimetingwa hapa naomba mnisaidie kati ya hii koz ya Bachelor of Art with Eductatio ya DUCE na ile Bachelor of Art with Education ya ST.AUGUST hasa ya main campus, Je kati ya hivyo vyuo viwili kipi kinatoa Ba.Ed kushinda chenzake?

Upo mkoa gani? kwa nini usiende sekondari iliyopo karibu uombe ushauri? au wewe ulikuwa adui wa walimu? Hata hivyo ubora wa chuo si hoja, bali uwezo wako kichwani?maana unaweza ukaenda duce na ukaishia pata disco.ukabaki kujilaumu. pia, ukimaliza DUCE au SAUT na kuanza kazi bila shaka mishara inakuwa sawa! kwa nini upate ''headache''? Acha kusikiliza watu ,wewe chagua chuo unachotaka! Ila nakushauri uchague Duce kama points zako ni nzuri.
 
yah zpo ila hazitosh inabd wanafunz wakodi hostel binafsi zilizopo maeneo karibu na chuo.

Kweli mwanza watu wanakalia uchumi tu! yaani watu wanashindwa kuandika ''buss. plan'' waombe mkopo wa kujenga hostel? Kweli penye miti hapana wajenzi!!
 
Wakuu nimetingwa hapa naomba mnisaidie kati ya hii koz ya Bachelor of Art with Eductatio ya DUCE na ile Bachelor of Art with Education ya ST.AUGUST hasa ya main campus, Je kati ya hivyo vyuo viwili kipi kinatoa Ba.Ed kushinda chenzake?

Hivi vyuo kila kimoja kinapas mark yake mfano SAUT. A ni 100-80,B+ ni 79-70, B ni 69-60,C ambayo ni pass ni 59-50 na D 49.9 fail lakini DUCE pass mark ni tofauti nadhan A ni 75 and above na pass ni 40

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Kweli mwanza watu wanakalia uchumi tu! yaani watu wanashindwa kuandika ''buss. plan'' waombe mkopo wa kujenga hostel? Kweli penye miti hapana wajenzi!!

Sio mwanza tu hata Dar. Duce penyewe zaidi ya robo tatu ya wanafunzi wanaishi off campus, ni wachache tu ndo wanaishi hostel za Duce, Mbagala na Mabibo hostel...
 
pale Tegeta kuna jamaa m1 kajenga Nyumba yenye vyumba 20, karibu na chuo cha IMTU.Anajilia pesa yake kwa mrija!!
 
poa mkuu
 
sawa mkuu
 
Wakuu nimetingwa hapa naomba mnisaidie kati ya hii koz ya Bachelor of Art with Eductatio ya DUCE na ile Bachelor of Art with Education ya ST.AUGUST hasa ya main campus, Je kati ya hivyo vyuo viwili kipi kinatoa Ba.Ed kushinda chenzake?

ukikua utaacha, na siku utakayomaliza chuo na kuanza kazi ndio utaona ulichouliza hapa kilikuwa ni ujinga mtupu, ila sishangazwi na nyinyi vijana mnaojiandaa kuingia chuo sasa,hata sisi enzi zetu tuliamia chuo kikuu ni udsm pekee tz kumbe hara sua ni chuo kikuu.
 
daah mkuu
 
Kweli mwanza watu wanakalia uchumi tu! yaani watu wanashindwa kuandika ''buss. plan'' waombe mkopo wa kujenga hostel? Kweli penye miti hapana wajenzi!!

Hostel zipo nyingi sana za private,SAUT mwanza wanaendelea kupunguza idadi ya wanachuo so off campus hostel baadhi zimekosa wanachuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…