H hanley jr Senior Member Joined Feb 26, 2013 Posts 119 Reaction score 27 Apr 13, 2013 #1 wadau kati ya hizo course mbili ipi ni bora katika soko la ajira la tanzania au yoyote anayejua business course nzuri ktk ajira aniambie,asteni wakuu
wadau kati ya hizo course mbili ipi ni bora katika soko la ajira la tanzania au yoyote anayejua business course nzuri ktk ajira aniambie,asteni wakuu
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Apr 13, 2013 #2 hanley jr said: wadau kati ya hizo course mbili ipi ni bora katika soko la ajira la tanzania au yoyote anayejua business course nzuri ktk ajira aniambie,asteni wakuu Click to expand... hamna hata moja nzuri hapo kwenye soko la kuajiriwa
hanley jr said: wadau kati ya hizo course mbili ipi ni bora katika soko la ajira la tanzania au yoyote anayejua business course nzuri ktk ajira aniambie,asteni wakuu Click to expand... hamna hata moja nzuri hapo kwenye soko la kuajiriwa
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Apr 13, 2013 #3 Piga finance.
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,716 Reaction score 18,828 Apr 13, 2013 #4 Zote msoto ule ule tuu..wewe..
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,045 Reaction score 5,108 Apr 14, 2013 #5 Finance
M Makamuzi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,155 Reaction score 263 Apr 14, 2013 #6 Soma kitu unachokiweza...kufuata mkumbo kutaharibu ndoto zako... Zote zina soko inategemeana uko competent kiasi gani.
Soma kitu unachokiweza...kufuata mkumbo kutaharibu ndoto zako... Zote zina soko inategemeana uko competent kiasi gani.
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,370 Apr 14, 2013 #7 nenda tu ba ya finance marketing ajira ni chache usipime afu marketers wengi watoto wa kike