BA in Geography and Environmental studies, UDSM

Robert J

Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
9
Reaction score
2
kwa wale waliosoma hii kozi wanisaidie kidogo kuhusu soko lake!!
 
Mambo!ebana naomba niseme ukweli nisikudanganye wala nisionekane nakutukana hii kozi inasumbua katika ajira tena sana,watu wengi waliosoma wanajuta na wengi wao wamepata ajira kwenye makampuni nje ya kozi zao na wengine wameamua kuwa walimu wa kujitegemea wasio na professional ya ualimu,mimi nipo halmashauri ya njombe.kuna vijana hapa watatu wamejitolea kupata uzoefu tu wakazi yani kama wanavolunteer na wamesoma kozi hiyohiyo.USHAURI NI BORA UNG'ESOMA EVIRONMENT MANAGEMENT AND EVALUATION HII NZURI HATA TANAPA WANAKUCHUKUA,KAMA INAWEZEKANA BADILISHA MBONA WANARUHUSU.GOOD DAY.
 
na bachelor of arts in publict administration? Ikoje samahani kwa usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…