Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Tukifunga kabisa wanajeshi watapata wapi mishahara?Kupitia TBC1 nikiwa katika ofisa moja muda huu,nimeona habari kuwa vilabu na baa sasa kufungwa saa tatu usiku.
Je,kufungwa saa tatu usiku kutasaidia?
Tuko serious kweli?
Bar zifungwe KabisaKupitia TBC1 nikiwa katika ofisa moja muda huu,nimeona habari kuwa vilabu na baa sasa kufungwa saa tatu usiku.
Je,kufungwa saa tatu usiku kutasaidia?
Tuko serious kweli?
Wacha tuendelee kujivutavuta, ila nasema itafika hatua baa, shughuli za ibada mikusanyiko misibani nk vitafungwa!sifurahii ila ni hatua za lazima. Dunia inaposisitiza lockdown lengo iondokane na gonjwa ili kwa pamoja, na wasi wasi tutaongoza kwa kuadhirika kwa Africa mzima na kupelekea kutengwa sijui hali itakuwaje, na lazima awepo wa kulaumiwa!Kupitia TBC1, nikiwa katika ofisa moja muda huu,nimeona habari kuwa vilabu na baa sasa kufungwa saa tatu usiku.
Je,kufungwa saa tatu usiku kutasaidia?
Tuko serious kweli?
nikiwa katika ofisi moja 🤣Kupitia TBC1, nikiwa katika ofisa moja muda huu,nimeona habari kuwa vilabu na baa sasa kufungwa saa tatu usiku.
Swali ni je,kufungwa saa tatu usiku kutasaidia?
Tuko serious kweli?
Nyumbani huwa sina muda wa kuangalia TBC1.nikiwa katika ofisi moja 🤣
ina maana mkuu ungekuwa nyumbani hii habari ingekupita 🤣
Ndio Viongozi wetu vijana ambao Kuna jamaa alifungua uzi kuwasifia,,Iyo habari nlimsikia Jana mhe. Albert akisema kuwa baa zote zifungwe saa tatu usiku kwa kuwa kuanzia saa tatu usiku wanywa pombe wanakuwa wamelewa na kuanza kushikana🤣🤣🤣 Duh nkasema yani RC anajenga hoja Kama hii si Bora tu angekaa kimya.Kupitia TBC1, nikiwa katika ofisa moja muda huu,nimeona habari kuwa vilabu na baa sasa kufungwa saa tatu usiku.
Swali ni je,kufungwa saa tatu usiku kutasaidia?
Tuko serious kweli?
Nyumbani huwa sina muda wa kuangalia TBC1.
Hizo baa zinafunguliwa saa kumi alasiri na hata hivyo hazina watu wengi kama kwenye migahawa na hoteli, siku hizo baa kuuza kreti kumi ni ishu sana kreti nne, kumbuka ukizifunga baa utavifunga viwanda vinavyotengeneza bia, soda na pombe nyingine na wanaohudumia watapoteza ajira. Muhimu serikali ifunge masoko ili wafanyabiashara wake watawanyike kwa kuuza mitaani kwenye magenge madogomadogo.Kupitia TBC1, nikiwa katika ofisa moja muda huu,nimeona habari kuwa vilabu na baa sasa kufungwa saa tatu usiku.
Swali ni je,kufungwa saa tatu usiku kutasaidia?
Tuko serious kweli?
Hahahaaaaaa...........wewe ni kada kweli kweli!Tbc unaangalia sana Sema unaogopa Bavicha wasikutukane
Bar zisifungwe ila msangamano upunguzwe
Sent using Jamii Forums mobile app