Baa zenye huduma nzuri Mbeya

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,203
Wadau wapi jijini Mbeya kwenye baa nzuri, yenye huduma nzuri, wahudumu bomba na wenye huduma nzuri?!!!
Je Karembu bar bado inawika? Nataka nitoke mishale ya saa 11 nikapunguze stress japo kiasi. Please let me know.
 
Kama unataka kupunguza kidogo nenda Mbeya carnival kuna wahudumu wachafuwachafu kwa 1k unapata mzigo.
NB: Kinyaa usiende nacho
 
Ipo karibia na mwanjelwa, ila ni upande wa pili wa barabara. Utaona jengo la vioo hiv ila ni nyuma ya ilo jengo
Mkuu

Mkuu City Pub iko sehemu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…