Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bullz pub, catalunya, calabash, meeda.... mfuko wako tu
Baa zenye mademu boomba Mwenge karibu na chuo kikuu mlimani. Leo nane.nane!! Si mnajua tena. Nijuze tafadhali
Katalunya na meeda ziko Mwenge sehemu gani? Taja kituo cha daladala cha karibu
Jamani wale wa Meeda mbona wamechoka sana? Kweli pale unapata ladha bado?
Wale ni wachafu wachafu.
Wa pale Mori wana afueni kidogo.
Ukitaka viwango zaidi nenda kwenye ile casino na ile klabu mpya (jina nimezisahau) pale karibu na PPF tower
Wale ni wachafu wachafu.
Wa pale Mori wana afueni kidogo.
Ukitaka viwango zaidi nenda kwenye ile casino na ile klabu mpya (jina nimezisahau) pale karibu na PPF tower
inaonekana una experience na hivi vitu
Anyway, kuwa mwanamme ni kazi sana.
I'm from here, I didn't come here!
you real sound so... ila am afraid umewajua hadi wasafi ni wapi na wachafu ni wap, thats way too far
Jamani wale wa Meeda mbona wamechoka sana? Kweli pale unapata ladha bado?
I'm from here, I didn't come here!
ha ha haa born town kitambo toka uhuru street inaitwa kichwele sio?