Baa zenye mademu wazuri Mwenge

Toka Masaki inaitwa Kichangachui....toka Samora inaitwa Independence avenue....

Hivi Bossman uliwahi kwenda Ikulu kuangalia tausi?

Cc: Kiranga

Tausi nilikuwa nawaona sana nikipita niliwahi enda ikulu kucheza football na Mwinyi,....but sikuhiyo hakuwepo..
 
Hata kama wachafu beba body spray
 
Toka Masaki inaitwa Kichangachui....toka Samora inaitwa Independence avenue....

Hivi Bossman uliwahi kwenda Ikulu kuangalia tausi?

Cc: Kiranga

Hahahaaa,

Tangu Faya ikiwa Mwembetogwa...

Speaking of kuangalia tausi Ikulu, kuna dogo mmoja fam ya kishua mshua wake balozi karudishwa bongo, kukawa na event Ikulu, si akawa anafukuza tausi, anasema anataka mmoja aondoke naye. Walinzi wa Ikulu wakataka kumbalasa asikaribie "nyara za serikali" mchonga akawaambia wamwachie, akamchukua pembeni akaanza kupiga naye stories kuhusu tausi.

Watu wote wakaona tofauti na walivyotegemea.

Enzi hizo za Ikulu ya kina Joan Wickens na Paul Sozigwa.
 
Asa tupia basi iyo phon no zangu ni gv them a call
 
Ha ha ha, watu huwa wanaogopa ukikoment kuhusu mambo fulani, kuna siku nilitaja guest kadhaa za sinza, nikaona wachangiaji wameniona mtumiaji maarufu wa guest, bila kujua labda sinza ni makazi au ofisi.

Nah, it's definitely not what you think.

I'm just a very observant person.
 
Acha uongo Brajec ipo Mlalakua survey.

Hay.....muongo nani sasa.....Nilisema ipo mlalakuwa tu hio ya survey wewe unajaribu kuwa too specific.Zaidi nilimkosoa huyo aliyesema Hongera Bar ipo Mwenge,soma vizuri uelewe kabla ya kuanza kukosoa.
 
Ha ha haaaaaa. Maeneo yalimchanganya aisee. But 4 years have elapsed ever since na mambo yamebadilika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…